Kikulacho yuko wapi?

Kikulacho yuko wapi?

Pia kuna mdada alikuwa anajiita "JANE LOWASSA" sijui hata alienda wapi.

Nilikuwa napenda Sana mchango wake katika kuhamasisha watu ili wafuate nyayo za mwenyezi Mungu.
 
Jamani nilizoea kumwona kikulacho huku MMU....

Ila siku hizi simuoni tena,nini kimempata????

Amekua kimya kwa muda au kahama jukwaa???

Kikulacho a mishuuu popote ulipo,michango yako nimeimiss(japo mara nyingi unaandikaga gazeti)...

Rudi buanaaaaa....
Nguoni mwako yupo!
 
Back
Top Bottom