Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mpwa si useme tu ulikua bze na mahabatiNipo binti ni katika harakati za kupambana na upatikanaji wa ugali......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa si useme tu ulikua bze na mahabatiNipo binti ni katika harakati za kupambana na upatikanaji wa ugali......
Mpwa si useme tu ulikua bze na mahabati
Hata mabachela huwaga mna mechi za kirafiki lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bado ni mwenyekiti hai wa chama cha mabachela.....ambapo kwa mujibu wa katiba ya chama cha mabachela nitaendelea kuwa madarakani mpaka mwaka 2025...ambapo utafanyika uchaguzi mwingine......
Hata mabachela huwaga mna mechi za kirafiki lakini
Mpwa sasa umezidi uoga... Hebu punguza kidogo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa cheo changu....hata hizo haziruhusiwi.....yaani ni maisha ya kiseja kabisa.....kama ya watawa....
Mpwa sasa umezidi uoga... Hebu punguza kidogo