Kikulacho yuko wapi?

Mpwa si useme tu ulikua bze na mahabati

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Bado ni mwenyekiti hai wa chama cha mabachela.....ambapo kwa mujibu wa katiba ya chama cha mabachela nitaendelea kuwa madarakani mpaka mwaka 2025...ambapo utafanyika uchaguzi mwingine......
 
Hata mabachela huwaga mna mechi za kirafiki lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…