R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jun 23, 2025 #1 Wakuu, Kwani Makonda hana fedha ya kuchukulia fomu? Your browser is not able to display this video.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 Jun 23, 2025 #2 Halafu huu mkoa ndo wanaonaga kwao wana akili sana. Wakiwa Dar wanajiita wapambanaji, kumbe deep down nao ni machawa tu. Wajinga sana hao vijana.
Halafu huu mkoa ndo wanaonaga kwao wana akili sana. Wakiwa Dar wanajiita wapambanaji, kumbe deep down nao ni machawa tu. Wajinga sana hao vijana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 23, 2025 #3 Duh aiseee
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,905 Reaction score 3,831 Jun 23, 2025 #4 Arusha city wazawa wanawaza ng'ombe na pombe tu, ndio maana jimba linachukuliwa na wakuja toka enzi za akina Batilda
Arusha city wazawa wanawaza ng'ombe na pombe tu, ndio maana jimba linachukuliwa na wakuja toka enzi za akina Batilda
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,490 Reaction score 38,302 Jun 23, 2025 #5 SACO said: Arusha city wazawa wanawaza ng'ombe na pombe tu, ndio maana jimba linachukuliwa na wakuja toka enzi za akina Batilda Click to expand... Wadudu wamelipwa na Makonda mwenyewe.
SACO said: Arusha city wazawa wanawaza ng'ombe na pombe tu, ndio maana jimba linachukuliwa na wakuja toka enzi za akina Batilda Click to expand... Wadudu wamelipwa na Makonda mwenyewe.
M Mayukuh Member Joined Apr 3, 2025 Posts 91 Reaction score 129 Jun 23, 2025 #6 Madogo wa kirangi...Huwez kuta wenye Arusha yao wanafanya huo usengerema.