Nimeagiza mzigo mdogo tu ili nipate experience ya Kikuu na niwe naagiza mara kwa mara. Matokeo yake nimeletewa bahasha yenye kibahasha kidogo ndani na haina kitu. Aliyeleta anasema yeye anafikisha vifurushi tu na hausiki kwenye kupakia au kufunga mizigo hivyo n iwasiliane na hao Kikuu. Nimewasiliana nao wanasema nirudishe mzigo ofisini halafu nisubiri refund.
Sasa nashangaa, wakosee wao halafu nirudishe mimi mzigo kwao kwa gharama zangu? Halafu majibu yao sio ya kuridhisha kabisa.
Sasa nashangaa, wakosee wao halafu nirudishe mimi mzigo kwao kwa gharama zangu? Halafu majibu yao sio ya kuridhisha kabisa.