KIKUU wataacha lini kuuza bidhaa feki?

AliExpress nao wana bidhaa feki nyingi sana hawana tofauti na kikuu
Nilifungua website e-commerce bidhaa mpya na used kutoka hapa Japan bahati mbaya sikupata mteja hata moja,nikaifunga niliona gharama za kuendesha platform nikubwa sana wanunuzi wanazingua, naomba tuvumilie mambo mengine tunayataka wenyewe.
 
Ulitakiwa kupa flash kama hii,
 
Nilifungua website e-commerce bidhaa mpya na used kutoka hapa Japan sikupata mteja hata moja nikaifunga niliona gharama za kuendesha platform nikubwa sana wanunuzi wanazingua, naomba tuvumilie mambo mengine tunayataka wenyewe.
Tatizo marketing mkuuu.
Ulikuwa unaitangazia wapi?
 
Tatizo marketing mkuuu.
Ulikuwa unaitangazia wapi?
Mkuu nimetanga kila platform kuanzia hapa JF,X,Facebook Instagram sikupata hata mtu moja wakuniunga mkono nikaachana nayo tena kwakulipia,wakati mwingine watanzania tunakwama kwakutokuinua.
 
Mkuu nimetanga kila platform kuanzia hapa JF,X,Facebook Instagram sikupata hata mtu moja wakuniunga mkono nikaachana nayo.
Nitumie website niione,ulikuwa unatangaza kwa kulipia au kwenye magroup tu??
 
Nitumie website niione,ulikuwa unatangaza kwa kulipia au kwenye magroup tu??
Nilishaifunga kitambo,kwasasa nafanya mambo mengine,niliingia mtaani nikatafuta PCs zaidi ya mia,Simu,PS na vifaa vya electronics nyingi original,nikaweka gate ways Lipa kwa simu,Bank za CRDB NMB,kwenye menu za Tig pesa M pesa,Paypsl lakini wapi,

Nilitangaza kwanjia ya kulipia sio matangazo ya bure,zaidi ya miaka 2 nimekomaa wapi siku uza hata simu moja.

Gharama ya developers kwajili ya website,matangazo nikalemewe nikabwaga,kwaiyo waga napita mitandaoni nawachora tu.

Japan kuna bidhaa nyingi sana ambazo ni original zinafaa sana kwa mazingira ya kimbongo tatizo wabongo kupigana support nikipengele.
 
Mkuu,nakueleea sana.

Unajua kwanza wabongo wanapenda vitu rahisi yani bei iwe ya kuokota.

Ulitakiwa ukomae zaidi ya hapo na kuona wapi zaidi uongezee nguvu,though sio rahisi kihivyo ila kupambana ni muhimu.
 
Mkuu,nakueleea sana.

Unajua kwanza wabongo wanapenda vitu rahisi yani bei iwe ya kuokota.

Ulitakiwa ukomae zaidi ya hapo na kuona wapi zaidi uongezee nguvu,though sio rahisi kihivyo ila kupambana ni muhimu.
Nikweli mkuu,ili bei iwe rahisi inatakiwa volume iwe kubwa ya mzigo,nfano ukiuza vitu vipya na used kwa mwezi ukajaza container moja hata kama ni 20ft bei ni kitonga.

Nfano vipuli vya Magari,mtu anataka Engine kama hii, na vifaa vyake vyoye kwa bei ya Geabox,ukisha mkubalia utaipakiaje pekeyaka kwenye container?

biashara za kibongo ningumu sana, hapo ushuru uko juu sana,shilling inayumba,watu wanataka vitu vizuri kwa bei ndogo na muitikio ndogo sana
 
Kuna vitu vya kuzingatia ukiwa unanunua bidhaa Kikuu, personally nimefanya purchase zaidi ya kumi na tano na vitu vyangu vyote sijawahi kupata kasoro kabisa.

1. Rating ya muuzaji: Jitahidi muuzaji wa bidhaa unayotaka awe na nyota tano, zikipungua sana ziwe nne alafu pia anagalia mauzo yake generally. Bidhaa iwe imenunuliwa na watu zaidi ya 500+ au 1000+

2. Feedback za wanunuaji: Bidhaa yoyote unayonunua angalia feedback za wanunuaji, watakuambia kama bidhaa ni fake or not na comments zisiwe chini ya 20+. Otherwise ukinunua bidhaa yako lazima izingue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…