Nilishaifunga kitambo,kwasasa nafanya mambo mengine,niliingia mtaani nikatafuta PCs zaidi ya mia,Simu,PS na vifaa vya electronics nyingi original,nikaweka gate ways Lipa kwa simu,Bank za CRDB NMB,kwenye menu za Tig pesa M pesa,Paypsl lakini wapi,
Nilitangaza kwanjia ya kulipia sio matangazo ya bure,zaidi ya miaka 2 nimekomaa wapi siku uza hata simu moja.
Gharama ya developers kwajili ya website,matangazo nikalemewe nikabwaga,kwaiyo waga napita mitandaoni nawachora tu.
Japan kuna bidhaa nyingi sana ambazo ni original zinafaa sana kwa mazingira ya kimbongo tatizo wabongo kupigana support nikipengele.