Kikuyus, Kalenjins to be barred from presidency for 30 years in proposed Bill

Wewe Mughaka Watanzania tutakuwemo tu. Tunaijua Kisii kuanzia Nyaribari Chache hadi Mugirango mpaka kwa jirani zenu Homa Bay.

Mbuya muno

Gaki ekegusii is gone international....aye Karibu gusiii land of matoke!!
 
Kenya ni ya wakikuyu. Hao jamaa wameshika kila sehemu.

Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.

Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
 
Democracy requires
minority rights equally as it
does majority rule. Indeed, as
democracy is conceived today,
there must be constitutional/ legal mechanism to protect minority rights which incidentally include the right to lead. A democracy with no such in built restraints becomes a dictatorship of the majority which Mutahi Ngunyi foundly named tyranny of numbers.
 
Hiyo bill safi sana, inatakiwa africa nzima watumie huo utaratibu.
 
Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.

Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.

Ukitaka kujua kama makabila yanashika Nchi kaulize Rwanda na Burundi
 
...how comes someone with this poor reasoning become a leader?
I thought you guys are expelling tribalism, but it isn't.
Hehehe. And then mwajiita civilized society.
Shame!!
 
Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.

Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
Mk254, hiyo unazungumza hapa wala haifanani na ukabila,
Kuendekeza ukabila karne hii ni aibu, halafu huwa unasema mmeelimika, ?
Sidhani kama jamii ya watu walioelimika itaona sababu ya kuamini kabila la mtu badala ya uwezo wake.
Do something guys,
Wengi humu ni vijana, anzeni hata kuwapandikiza watoto wa shule tabia za ustaarabu na kuondoa dhana ya kujiona ni bora sababu ya tribe.
 
crappy bill, the only good thing it mentions is the possibility of a one term presidency. I believe presidents should have a one term non renewable term of seven or eight years. That would make them concentrate on cementing their legacy not playing ping ball with factions that threaten to support rivals in re-election bid. All the development Kibaki brought us would have been lost because of chest-thumping nature of our politics
 
Mk254, hiyo unazungumza hapa wala haifanani na ukabila,
Kuendekeza ukabila karne hii ni aibu, halafu huwa unasema mmeelimika, ?
Sidhani kama jamii ya watu walioelimika itaona sababu ya kuamini kabila la mtu badala ya uwezo wake.
Do something guys,
Wengi humu ni vijana, anzeni hata kuwapandikiza watoto wa shule tabia za ustaarabu na kuondoa dhana ya kujiona ni bora sababu ya tribe.
Soma nilichokisema mara kumi halafu uje upya.
 
"The principle objective of this Bill is to amend Articles 137 and 142 of the [constitution] to provide rotational presidency to allow ethnic communities equal accessibility of top leadership and for regional balance,"
kama mswada huu utapita basi Tanzania tu-copy, modify na ku-paste ili CCM iwaachie wengine watawale kwa muda. sisi hatuna shida na ukabila bali siasa za vyama!
 
Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.

Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
Lakini kwa kenya ni tofauti....
Kabila la walionacho ni kikuyu, kalenjin au (GEMA) yoote na Kabila la wasionacho au walala hoi ni pokot, jaluo na wengine ambao unawajua
 
Tatizo eliakeem umekaririshwa mambo ya vijiweni hadi unaimba kama wimbo wa taifa, safiri utoke nje ya hicho kitaa cha uswazi uweze kuelewa na kuijua dunia.
Binafsi nimesafiri sana, ukienda kwa makabila yote, ya hapa Kenya na hata ya huko Bongo, humo ndani ya kila kabila kuna aina ya hao watu wawili, walionacho na walalahoi. Ukienda Ukikuyuni kule ndani, utakuta kuna maskini na pia utakuta wenye hela, vile vile hata kule kwa Wajaluo. Na hata hapo Bongo, tumeaminishwa kwamba Wachagga ndio wenye mali Tanzania, lakini utakuta kuna baadhi yao maskini pia.

Hakuna kabila ambalo linaweza kumiliki serikali, mimi binafsi ni Mkikuyu lakini kila siku nahangaika kwenye mishe zangu, hamna siku imetokea tangazo kwamba Wakikuyu wote tuweke foleni kwa mabenki tupate mgao wa serikali. Nimekutana na Wakikuyu na Wakisii huko Bongo wananiwiri kibiashara, wameenda hadi Malawi na Msumbiji, Rwanda, Burundi, wamevuka hadi Botswana na wanakwepa mabomu Somalia, sasa huko ina maana serikali za hizo nchi zinawasaidia ama vipi.

Ukikaa kama mjinga unawaza eti wenzio wanafaulu maana kuna usaidizi wa kiaina, utakufa ukiwa maskini hadi kuzimu. Nimeona mnafungua humu JF mada kadhaa kwamba waislamu Bongo huwa wanaonewa, kwamba hawapewi nafasi sawa na Watanzania wa dini nyingine. Huo ni uvivu na umbumbumbu wa kiaina, nyanyuka hapo ulipo, piga kazi hadi kieleweke.

Rais Uhuru leo akitaka kuteua, watapigiana simu huko juu kama wanavyojuana wenyewe, hatokuja kunitafuta kitaa kisa mimi ni Mkikuyu. Juzi rais Museveni ameteua mkewe kuwa waziri, tayari amemweka mwanaye katika mkao wa kumrithi.

Huko huko rais wenu Magufuli amewaita vila.za nyie msiokua na elimu, lakini akasahau kwamba na mwanaye Jesi yuko humo kati yenu kwenye level yenu ya elimu, niliona mumeweka bandiko na kumuanika huyo Jesi na kuhoji alifika vipi chuo kikuu. Lakini mwisho wa siku mtaishia kupiga makelele hatimaye mlale maana huyo Jesi yupo kwa kabila la walionacho wakati nyie vila.za wa kawaida mpo kwenye kabila la walalahoi na mtatukanwa kuwa malo.fa na wapumbavu siku zote.
 
Huyu Mwanamama vipi? Kwani Rais wa Kenya anateuliwa ama anachaguliwa na wananchi?

Iweje upitishe sheria kutengua kabila la wakikuyu na wakalenjin kushika dola, ikiwa wamechaguliwa na wananchi je?
Iliyetoa mawazo kama hayo ni hatari kwa Kenya, Afrika Mashariki na dunia, how on earth could an MP jot down such an apartheid time of bill? the dangerous MP is trying to commit artificial genocide by eliminating all the Kikuyus and Kalenjins, he should be arrested to face court charges for the incitements.
 
Tatizo eliakeem umekaririshwa mambo ya vijiweni hadi unaimba kama wimbo wa taifa, safiri utoke nje ya hicho kitaa cha uswazi uweze kuelewa na kuijua dunia.
Binafsi nimesafiri sana, ukienda kwa makabila yote, ya hapa Kenya na hata ya huko Bongo, humo ndani ya kila kabila kuna aina ya hao watu wawili, walionacho na walalahoi. Ukienda Ukikuyuni kule ndani, utakuta kuna maskini na pia utakuta wenye hela, vile vile hata kule kwa Wajaluo. Na hata hapo Bongo, tumeaminishwa kwamba Wachagga ndio wenye mali Tanzania, lakini utakuta kuna baadhi yao maskini pia.

Hakuna kabila ambalo linaweza kumiliki serikali, mimi binafsi ni Mkikuyu lakini kila siku nahangaika kwenye mishe zangu, hamna siku imetokea tangazo kwamba Wakikuyu wote tuweke foleni kwa mabenki tupate mgao wa serikali. Nimekutana na Wakikuyu na Wakisii huko Bongo wananiwiri kibiashara, wameenda hadi Malawi na Msumbiji, Rwanda, Burundi, wamevuka hadi Botswana na wanakwepa mabomu Somalia, sasa huko ina maana serikali za hizo nchi zinawasaidia ama vipi.

Ukikaa kama mjinga unawaza eti wenzio wanafaulu maana kuna usaidizi wa kiaina, utakufa ukiwa maskini hadi kuzimu. Nimeona mnafungua humu JF mada kadhaa kwamba waislamu Bongo huwa wanaonewa, kwamba hawapewi nafasi sawa na Watanzania wa dini nyingine. Huo ni uvivu na umbumbumbu wa kiaina, nyanyuka hapo ulipo, piga kazi hadi kieleweke.

Rais Uhuru leo akitaka kuteua, watapigiana simu huko juu kama wanavyojuana wenyewe, hatokuja kunitafuta kitaa kisa mimi ni Mkikuyu. Juzi rais Museveni ameteua mkewe kuwa waziri, tayari amemweka mwanaye katika mkao wa kumrithi.

Huko huko rais wenu Magufuli amewaita vila.za nyie msiokua na elimu, lakini akasahau kwamba na mwanaye Jesi yuko humo kati yenu kwenye level yenu ya elimu, niliona mumeweka bandiko na kumuanika huyo Jesi na kuhoji alifika vipi chuo kikuu. Lakini mwisho wa siku mtaishia kupiga makelele hatimaye mlale maana huyo Jesi yupo kwa kabila la walionacho wakati nyie vila.za wa kawaida mpo kwenye kabila la walalahoi na mtatukanwa kuwa malo.fa na wapumbavu siku zote.
Mbona povu linakutoka?? Nyie wakikuyu si ndiyo mlifanya tambiko eti hamuwezi kuongozwa na wajaluo wasiokatwa govi.
 
Nilikua nategemea utakua na uwezo wa kujadili hoja, kumbe wewe ni wale wale na ndio maana mnatukanwa eti vila.za na kuitwa malofa na viongozi wenu maana mnadhihirisha ndivyo mlivyo.

Haya bwana kwaheri, ila nakuacha na hili, fahamu kabila la walionacho ni hao akina Riziwani Kikwete wanapopigiana simu na mtoto wa Mkapa kujadili dili fulani, hao ndio kabila la wenye Tanzania, akina jesi.
Wakati wewe kabila la walalahoi mnapigana vikumbo kwenye daladala ili muwahi kuuza samaki pale Kivukoni.

Nakumbuka video fulani ya mtoto wa Kikwete anadeka kweli na kusema "sisi ndio Tanzania na wenye dola". Ndivyo ilivyo dunia kwenye kabila mbili.
 
Rotating the Presidency is what will save Kenya from the greed of one tribe wanting to control the office come rain or sunshine...but to ban two tribes for 30 years is also unfair...Look at what rotating the presidency has done in NIGERIA.. a country that was famous for military coups..It can work if bill is crafted with "GOOD INTENTIONS"
 
Nilikua nategemea utakua na uwezo wa kujadili hoja, kumbe wewe ni wale wale na ndio maana mnatukanwa eti vila.za na kuitwa malofa na viongozi wenu maana mnadhihirisha ndivyo mlivyo.

Haya bwana kwaheri, ila nakuacha na hili, fahamu kabila la walionacho ni hao akina Riziwani Kikwete wanapopigiana simu na mtoto wa Mkapa kujadili dili fulani, hao ndio kabila la wenye Tanzania, akina jesi.
Wakati wewe kabila la walalahoi mnapigana vikumbo kwenye daladala ili muwahi kuuza samaki pale Kivukoni.

Nakumbuka video fulani ya mtoto wa Kikwete anadeka kweli na kusema "sisi ndio Tanzania na wenye dola". Ndivyo ilivyo dunia kwenye kabila mbili.

Ahaaaa haaaa haaaaa nimekupiga za uso na naendelea kukupiga za uso. I'm not going to research on the obvious, nyie back to 1960s and 70s babu zenu waliapisha wakikuyu wote kokote waliko na kutambika ili ufalme au mamlaka yasiende kwa waluo.... Na hii dhambi ndugu yangu haita waacha asilani, mpaka pale mtakapo kubali kuwa watu wengine pia wana uwezo, haki na madaraka ya kuwa viongozi wa kenya. Vinginevyo mtakuwa mnajidanganya, Wakikuyu hawana haki miliki ya kuwa watawala wa Kenya. Haiwezekani ukienda KQ utamkuta Kyoko, ukienda KCB utamkuta wanjiru, mara waweru. Aaagh this is too much... mnalindana tu kwenye hiyo bandit economy yenu..
 
Back
Top Bottom