Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Wewe Mughaka Watanzania tutakuwemo tu. Tunaijua Kisii kuanzia Nyaribari Chache hadi Mugirango mpaka kwa jirani zenu Homa Bay.
Mbuya muno
Kenya ni ya wakikuyu. Hao jamaa wameshika kila sehemu.
Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.
Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
Mk254, hiyo unazungumza hapa wala haifanani na ukabila,Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.
Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
Soma nilichokisema mara kumi halafu uje upya.Mk254, hiyo unazungumza hapa wala haifanani na ukabila,
Kuendekeza ukabila karne hii ni aibu, halafu huwa unasema mmeelimika, ?
Sidhani kama jamii ya watu walioelimika itaona sababu ya kuamini kabila la mtu badala ya uwezo wake.
Do something guys,
Wengi humu ni vijana, anzeni hata kuwapandikiza watoto wa shule tabia za ustaarabu na kuondoa dhana ya kujiona ni bora sababu ya tribe.
For geza ur kikuyu if disgree with anything cord.na-support hii wewe sam999 ni Mkikuyu wacha uwongo hapa...
Exactly. Hawa ma-elites wanafaana tu wao wenyewe. Sio sisi watu wa kawaida.Wewe Mkikuyu class B.
High class unawajua!! Elites wa GEMA
Lakini kwa kenya ni tofauti....Hamna Kabila linaloshika nchi, ila watu wachache wanaopokezana. Hata Bongo niliona mada za vile nyadhifa muhimu zinapokezwa watoto wa vigogo kama hapo BoT.
Kuna kabila mbili dunia hii, walionacho na walalahoi. Hizi kabila mbili zipo Marekani, Tanzania na dunia yote.
Lakini kwa kenya ni tofauti....
Kabila la walionacho ni kikuyu, kalenjin au (GEMA) yoote na Kabila la wasionacho au walala hoi ni pokot, jaluo na wengine ambao unawajua
Iliyetoa mawazo kama hayo ni hatari kwa Kenya, Afrika Mashariki na dunia, how on earth could an MP jot down such an apartheid time of bill? the dangerous MP is trying to commit artificial genocide by eliminating all the Kikuyus and Kalenjins, he should be arrested to face court charges for the incitements.Huyu Mwanamama vipi? Kwani Rais wa Kenya anateuliwa ama anachaguliwa na wananchi?
Iweje upitishe sheria kutengua kabila la wakikuyu na wakalenjin kushika dola, ikiwa wamechaguliwa na wananchi je?
Mbona povu linakutoka?? Nyie wakikuyu si ndiyo mlifanya tambiko eti hamuwezi kuongozwa na wajaluo wasiokatwa govi.Tatizo eliakeem umekaririshwa mambo ya vijiweni hadi unaimba kama wimbo wa taifa, safiri utoke nje ya hicho kitaa cha uswazi uweze kuelewa na kuijua dunia.
Binafsi nimesafiri sana, ukienda kwa makabila yote, ya hapa Kenya na hata ya huko Bongo, humo ndani ya kila kabila kuna aina ya hao watu wawili, walionacho na walalahoi. Ukienda Ukikuyuni kule ndani, utakuta kuna maskini na pia utakuta wenye hela, vile vile hata kule kwa Wajaluo. Na hata hapo Bongo, tumeaminishwa kwamba Wachagga ndio wenye mali Tanzania, lakini utakuta kuna baadhi yao maskini pia.
Hakuna kabila ambalo linaweza kumiliki serikali, mimi binafsi ni Mkikuyu lakini kila siku nahangaika kwenye mishe zangu, hamna siku imetokea tangazo kwamba Wakikuyu wote tuweke foleni kwa mabenki tupate mgao wa serikali. Nimekutana na Wakikuyu na Wakisii huko Bongo wananiwiri kibiashara, wameenda hadi Malawi na Msumbiji, Rwanda, Burundi, wamevuka hadi Botswana na wanakwepa mabomu Somalia, sasa huko ina maana serikali za hizo nchi zinawasaidia ama vipi.
Ukikaa kama mjinga unawaza eti wenzio wanafaulu maana kuna usaidizi wa kiaina, utakufa ukiwa maskini hadi kuzimu. Nimeona mnafungua humu JF mada kadhaa kwamba waislamu Bongo huwa wanaonewa, kwamba hawapewi nafasi sawa na Watanzania wa dini nyingine. Huo ni uvivu na umbumbumbu wa kiaina, nyanyuka hapo ulipo, piga kazi hadi kieleweke.
Rais Uhuru leo akitaka kuteua, watapigiana simu huko juu kama wanavyojuana wenyewe, hatokuja kunitafuta kitaa kisa mimi ni Mkikuyu. Juzi rais Museveni ameteua mkewe kuwa waziri, tayari amemweka mwanaye katika mkao wa kumrithi.
Huko huko rais wenu Magufuli amewaita vila.za nyie msiokua na elimu, lakini akasahau kwamba na mwanaye Jesi yuko humo kati yenu kwenye level yenu ya elimu, niliona mumeweka bandiko na kumuanika huyo Jesi na kuhoji alifika vipi chuo kikuu. Lakini mwisho wa siku mtaishia kupiga makelele hatimaye mlale maana huyo Jesi yupo kwa kabila la walionacho wakati nyie vila.za wa kawaida mpo kwenye kabila la walalahoi na mtatukanwa kuwa malo.fa na wapumbavu siku zote.
Mbona povu linakutoka?? Nyie wakikuyu si ndiyo mlifanya tambiko eti hamuwezi kuongozwa na wajaluo wasiokatwa govi.
Nilikua nategemea utakua na uwezo wa kujadili hoja, kumbe wewe ni wale wale na ndio maana mnatukanwa eti vila.za na kuitwa malofa na viongozi wenu maana mnadhihirisha ndivyo mlivyo.
Haya bwana kwaheri, ila nakuacha na hili, fahamu kabila la walionacho ni hao akina Riziwani Kikwete wanapopigiana simu na mtoto wa Mkapa kujadili dili fulani, hao ndio kabila la wenye Tanzania, akina jesi.
Wakati wewe kabila la walalahoi mnapigana vikumbo kwenye daladala ili muwahi kuuza samaki pale Kivukoni.
Nakumbuka video fulani ya mtoto wa Kikwete anadeka kweli na kusema "sisi ndio Tanzania na wenye dola". Ndivyo ilivyo dunia kwenye kabila mbili.