Elections 2010 Kikwete aapa kwa kutumia katiba

Elections 2010 Kikwete aapa kwa kutumia katiba

hawa hata hawaapi kabisa ila wanaimba bongo flavours..............kuapa si mchezo wanajamii...........uwe umeshika kitabu kitakatifu then uende against it basi ndio kaburi lao..........na ilivyokuwa wao si wakweli wataapia na hiyo katiba yao feki na pengine ile si katiba ila ni kitabu cha hadithi za alif lela ulela.
 
Kweli kama Jakaye Kikwete katumia KATIBA well hapo ninampa heshima... Siipendi CCM lakini alivyofanya hivyo anastahili heshima... labda kweli anapenda amani na najua hana udini kabisa... ni UFISADI akipambana nao kweli huyu sio kiongozi mbaya

HANDS DOWN!!!! I PRAISE HIM
 
hata wlevi huwa wanawapraise mashetani nothing suprise me at all.
 
emt, soma sura ya 266 sheria za nchi (The Official Oaths Act) ndiyo imeanisha kiapo cha rais na maafisa wengine was serikali.

Mkuu nimeitafuta sana hii Sheria ya Viapo na Matamko ya Kisheria ya mwaka 1966 lakini sijaipata. Sijui utakuwa nayo utupe kifungu husika? Nimepata http://www.bunge.go.tz/Polis/PAMS/Docs/59-1966.pdf lakini hii inatumika zaidi mahakamani. Unless hiyo sheria ya kiapo inasesema vinginevyo, sidhani kama amvunja katiba b'se our Constitution makes no mention of the Bible/Koran. Politically, it may prove to be a problem though kama mwaka 2005 alikula kiapo kwa kutumia Koran halafu term hii akaikacha.
 
Back
Top Bottom