hata wlevi huwa wanawapraise mashetani nothing suprise me at all.Kweli kama Jakaye Kikwete katumia KATIBA well hapo ninampa heshima... Siipendi CCM lakini alivyofanya hivyo anastahili heshima... labda kweli anapenda amani na najua hana udini kabisa... ni UFISADI akipambana nao kweli huyu sio kiongozi mbaya
HANDS DOWN!!!! I PRAISE HIM
emt, soma sura ya 266 sheria za nchi (The Official Oaths Act) ndiyo imeanisha kiapo cha rais na maafisa wengine was serikali.