Wadau heshima mbele. Kamati kuu ya ccm imemaliza kikao muda si mrefu usiku huu chini ya uenyekiti wa Dr. Kikwete, ambapo pamoja na mambo mengine mkuu wa kaya amehimiza msimamo wa chama wa matumizi ya Kura ya wazi wakati wote wa maamuzi ya bunge la katiba.
Haya mambo ya ajabu sana. Kwani Katiba inayoandaliwa ni ya nchi au ya CCM? Hivi mbona wanakuja na ulaghai wa wabunge wote wanapaswa kuwa wamoja kwa sababu ni suala la kitaifa ilhali CCM wana kundi na misimamo yao? Bado sielewi haya mambo ynavyopelekwa!
Kamati ya maridhiano ilikuwepo kwenye kikao hicho. JK NI MJUMBE WA Bunge Maalum la katiba mpya? Ni bora wajumbe wote wasiotokana na CCM wakaondoka kwenye Bunge hili wabakie wajumbe wa CCM peke yao na katiba iwe ni ya CCM KULIKO KUBURUZWA NAMNA HIYO
Kwani katiba inayoandaliwa ni ya wapinzani!!??, Mbona kila chama kina msimamo Wake, kwanini uone msimamo Wa CCM ndo m'baya!?��
Hii lazima iwe ya waziJamani mahali popote kura kura huwa ni za siri!
Machadema ni mijitu ya ajabu sanaMa ccm ni mijitu ya ajabu sana. wanachi watakataa katiba ya chama cha majambazi.