Kikwete abariki kura ya wazi

Kikwete abariki kura ya wazi

Watanzania tunajua Kiwete lazima achukue msimamo wa CCM lakini si mapenzi ya Wajumbe wengi wala Watanzania.

Kama CCM wameng'ang'ania kura ya WAZI baci na kwenye Katlba waseme Chaguzi zote za Raisi,Wabunge na Madiwani iwe ni WAZI pia.
 
Nasema kuwa na demokrasia ya kweli ilipaswa kupigwa kura ya siri juu ya kura ya wazi au ya siri. Na pia walipaswa kupiga kura ya wazi juu ya kura ya siri au uwazi na ndipo wangeona tofauti iliyopo. Nasema hatuhitaji tena katiba Mpya nchi hii maana tumejua CCM wanataka nini? Wale wenye nia njema wanpaswa kujitoa sasa kwenye bunge la katiba si vinginevyo ili ieleweke wazi kuwa katiba ni ya CCM.
 
yeye si mbunge hivyo maoni hayo si msimamo wa wabunge binafsi. Halafu ifahamike kuwa wabunge wa bunge la muungano na wawakilishi wote ni wajumbe wa bunge la katiba wakiwa katika kundi moja na wa vyama vya upinzani kwa mujibu wa sheria. Wabunge tumieni nafasi yenu kisheria kutetea maoni ya wananchi na si misimamo ya vyama vyenu. Suala la kutumia kura ya siri au wazi liamuliwe kwa kupigiwa kura na wajumbe wote kama mlivyofanya katika kumchagua mwenyekiti wa muda. Ushauri wangu ni kwa wajumbe kutoka CCM kuwa jasiri bila kuyumbushwa na misimamo ya Chama kwani katiba ya maoni ya wananchi ikipitishwa basi itaruhusu mgombea binafsi hivyo hata kama utafukuzwa katika chama bado wananchi tunaweza kukurejesha Mjengoni.
 
Mungu inusuru nchi yetu.tumeaminishwa kuwa kila mtu anaweza kuwa Rais wa Nchi hii.bahati mbaya hata wenye uelewa kama nazi Koroma sasa wanatuongoza.Huyu hana tofauti na Mangungu!
 
Silly country! Badala raisi ahimize umoja yeye anahimiza mpasuko!!! Basi tu tumechelewa ila ilifaa itungwe sheria ya kuzuia mikutano/vikao vya vyama toka bunge maalumu linaanza hadi linaisha!
 
ccm ni janga la kitaifa,katiba ni ya ccm au ya wananchi??????ccm mmetuchosha na mikutanoyenu ya mara kwa mara,mnataka nini??mnahofia nini??mmezoea wizi,mnataka wajumbe wenye nia nzuri kabisa wawaogope kipindi cha kupiga kura so??msitupelekeshe halafu mkafanya katiba nzima ikawa ya ccm
 
Cuf,chadema na vyama vingine navishauri visusie bunge hili kwa kuwa tangu napata akili ya kufikili sikuona chaguzi yeyote ilfanyika kura ya wazi.maadam ccm wana taka katiba yao na sio ya wananchi basi waachieni.
 
wiki nyingine hiyo inakuja tena, issue itakuwa ni wazi ama siri mpaka wiki iishe.

Ili kupata muafaka lazima kuwe na upande ulegeze, vinginevyo hatuwezi kusonga mbele.
 
Ccm kura ya waziiiiiiiiii

Chandema kura ya siriiiiii
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwenyekiti wa ccm taifa amewataka wajumbe wote wa bunge maalumu la katiba wanaotoka chama cha mapimduzi wasipige kura ya siri na yoyete atakaye unga mkono kura ya wazi atakuwa ameenda kinyume na matakwa ya chama
 
Cuf,chadema na vyama vingine navishauri visusie bunge hili kwa kuwa tangu napata akili ya kufikili sikuona chaguzi yeyote ilfanyika kura ya wazi.maadam ccm wana taka katiba yao na sio ya wananchi basi waachieni.

Nasisi wananchi tunaikataa kuipitisha,bora ijulikane tu kikwete kafilisi kwa upuuzi wake.
 
Back
Top Bottom