Nelsweeter
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 141
- 68
Ile thread aliyoleta hapa JF ili kujikomba kwa JK na kujisafisha mbele ya system kuhusiana na sakata la kule bungeni ndio imemponza. Hajui kuwa system yenyewe huwa inatumia JF kama thermometor ya maswala mengi ya kisiasa nchini. Kwa jinsi alivyokilaza wa siasa alijua ndio anajisafisha kumbe ndio anajipaka matope, wenzake walikaa kimya kiherehere chake kimemponza. Ndio matatizo ya kudandia profession msizozijua, wala hata hajui nani alimtuma Zitto kupush ile motion ndani ya bunge