Nelsweeter
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 141
- 68
Labda atatangazwa kesho kwenye marudio
Yeye ni kuni akiba.
Baada ya muda hatimaye baraza limetangazwa,nakupa pole Kigwangala kwa sababu umezoea huruma mfano jinsi ulivyopata ubunge,pia siku za hivi karibuni umekua mnafiki kwa kutosaini karatasi za Zitto ukitegemea huruma ya kuwekwa baraza la mawaziri...pole sana ila acha unafiki
mkuu kasepeshwaje sijaelewa !anapenda sifa kinoma,anawakoromea watendaji wake kama watoto wake.afadhari kasepeshwa..
Sema pole pole, nasikia jamaa alishafanya na kisomo kabisa kwao kumpongeza kwa kuukwaa Uwaziri! Jamaa asipokunywa sumu mwaka huu, hatakaa anywe!Baada ya muda hatimaye baraza limetangazwa,nakupa pole Kigwangala kwa sababu umezoea huruma mfano jinsi ulivyopata ubunge,pia siku za hivi karibuni umekua mnafiki kwa kutosaini karatasi za Zitto ukitegemea huruma ya kuwekwa baraza la mawaziri...pole sana ila acha unafiki