Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Waziri asiye na Wizara Maalum kazi zake ni zipi?:eek2:
 
MAWAZIRI 55
Watanzania eeeeeeeeeh! Nchi inatafunwa.
 
Mbunge wa mosh vijijin ndugu crily chami katoswa uwaziri pole zake kwa kipindi chote alichokuwa naibu waziri hadi waziri kamili hajaweza kuwaendeleza wananch wa jimbon mwake hii ni kwa sababu ya umimi. Jimbo la mosh vijijin wakaz wake ni wakulima na wafugaji lakin tangu crily awe mbunge hakuweza kuanzisha hata NGO,S ili wananch wajiendeleze. Hata viwanda vidogo vidogo basi hakuweza ANAKUJA KUWAELEZA WANANCH AMEWEZA KUJENGA KITUO CHA POLISI OKAON. HIV MTU AKIUGUA ANAPELEKWA POLISI AU HOSPITALI? NAWASILISHA
 
 
Mhmm vichekesho sana, utadhani kila mtu aliambiwa achague Wizara anayoitaka!
 
[TABLE="width: 249"]
[TR]
[TD="class: xl66, width: 87, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 124, bgcolor: transparent"]Mawaziri[/TD]
[TD="class: xl65, width: 121, bgcolor: transparent"]Manaibu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent"]Muslims[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]8/30 (26.7% )[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]7/25 (28%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent"]Christians[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]22/30 (63.3%)[/TD]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]18/25 (62%)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nadhani Mzee wa CDM, Ed Mtei atafurahi sana
 
Heshima kwenu wanabod! Leo nimefurahi sana kwa mbunge wangu wa Kalenga kutimiza ndoto yake aliyo kuwa nayo tangu alipo staafu kazi yake ya benki[NBC-MWANZA] kabla ya kurudi pale Magunga na kuanza harakati za kutimiza ndoto yake ambayo leo tar.04.04.2012 imetimia.Kwangu mimi nimefurahi sana kwani ameongeza exposure ili watanzania wamjue vizuri kwa utendaji wake na ahukumiwe na wankalenga kihalali.MAJUNGU SI MTAJI,NINAOMBA ASIJE KUJITETEA KWAMBA KAZI KWAKE NI NGENI KWANI AMEJIPAMBANUA MARA KADHAA KWAMBA YEYE NI MTAALAMU WA MASUALA YA FEDHA.NIJUAVYO MIMI HUYU NI CHAKULA YA ZITTO KATIKA MONETORY POLICIES KITU AMBACHO KITAPELEKEA UKOMBOZI WA KALENGA KUPITIA TODY'S EXPOSURE YA MWAMGIMWA BILL.POA TUKUTANE 2015. Nawasilisha,mawazo yangu.
 
Kutokana na madiliko ya baraza la mawaziri, Dr Hussein Mwinyi ameteuliwa kuwa Waziri wa afya. Dr Mwinyi ni mbunge toka Zanzibar na hii wizara siyo ya Muungano, inashughulika tu na afya upande wa Tanzania bara.
Zanzibar wanayo wizara yao ya afya

Hebu tuangalie hii changamoto!
 
Another 1st class economist like Mwigulu......Je wanatumiaje Elimu yao kwa wananchi wa kawaida!Porojo Tupu!Naona Yametimia!
 
Last time alikua BoT Mwanza kabla ya kustaafu. NBC ilikua kitambo zaidi!!
 
Ushauri wa bure kwa CCM, wasihainge hata kwa nusu saa kusimamisha mgombea Moshi Vijijini 2015. CCM ni bye bye.
 
Maana yake ni kutuliza mkali wa watu wa mbeya ili wajione wana waziri ila ukweli kule kumngewekwa vicky kamata.
 
Binafsi nimejiuliza ila sijapata jibu maalum, hii Ofisi zake zitakuwa wapi? Atawajibika kusimamia kitu gani hasa?
 
H.Mwinyi ni kipenzi cha JK. Anaandaliwa kuwa rais wa Zenji 2020.
 
Baba na mama wameona na ndoa imekaa miaka 2 baba anapima afya anaambia anangoma na afya ya mama inayumba, then msimamizi wa ndoa anasema mama hana ngoma! (Chami Vs Nyalandu), Hapa tunaona JK analinda maslahi ya vitega uchumi vyake vilivyopo kwenye mbuga za wanyama. Naibu waziri wa Sayansi na Technologia Makamba hapa tunaona ni mtu mpya kaingizwa wizarani lakini wana jamii mnakumbuka dada wa makamba yupo sekta gani (voda) sasa hapa hatujui dada kwa sasa hivi alitoa rushwa gani kama ile email iliyokua inazunguka au laa! Time will tell. wana JF tuchambua mambo kwa undani theni tuwape M4C analysis yetu, kama vipi sasa iwe kura ya kutokua na imani na Raisi maana tumechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…