Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Waziri asiye na Wizara Maalum kazi zake ni zipi?:eek2:
 

ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI


MAWAZIRI

1. OFISI YA RAIS

1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,

3.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,


2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

4.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


3. OFISI YA WAZIRI MKUU

6.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,


4. WIZARA

9. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

10. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

11. Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,

12. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

13. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

14. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

15. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

16. Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

17. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

18. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,

19. Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

20. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,

21.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,

22. Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

23. Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

24. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,

25. Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

26. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

27. Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

28. Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

29. Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,

30. Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,

5. NAIBU MAWAZIRI


OFISI YA RAIS

HAKUNA NAIBU WAZIRI


6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

31. Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,

7. OFISI YA WAZIRI MKUU


32. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

33. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,

8. WIZARA MBALIMBALI

34. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

35.Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

36.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

37. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

38. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

39.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

40.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

41. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

42. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

43. Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

44. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

45. Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

46. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

47. Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,

48. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

49. Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

50. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,

51. Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

52. Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

53. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

54. Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,

55. Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,
MAWAZIRI 55
Watanzania eeeeeeeeeh! Nchi inatafunwa.
 
Mbunge wa mosh vijijin ndugu crily chami katoswa uwaziri pole zake kwa kipindi chote alichokuwa naibu waziri hadi waziri kamili hajaweza kuwaendeleza wananch wa jimbon mwake hii ni kwa sababu ya umimi. Jimbo la mosh vijijin wakaz wake ni wakulima na wafugaji lakin tangu crily awe mbunge hakuweza kuanzisha hata NGO,S ili wananch wajiendeleze. Hata viwanda vidogo vidogo basi hakuweza ANAKUJA KUWAELEZA WANANCH AMEWEZA KUJENGA KITUO CHA POLISI OKAON. HIV MTU AKIUGUA ANAPELEKWA POLISI AU HOSPITALI? NAWASILISHA
 
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika nafasi zao.
- Mawaziri watawajibishwa kisiasa lakini waliosababisha waziri awajibike hawataachwa!
- Kuanzia sasa akiwajibishwa Waziri basi na watendaji wote walio nyuma yake watawajibishwa\
ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI


5. NAIBU MAWAZIRI

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

KAMA NI KWELI (SEE RED JUU) KWANINI HUYU NAE ASIWAJIBIKE SABABU ALIKUWA NA NGELEJA WOTE WAMEPROVE FAILURE? HUKU NI KUBEBANA,

 
Mhmm vichekesho sana, utadhani kila mtu aliambiwa achague Wizara anayoitaka!
 
[TABLE="width: 249"]
[TR]
[TD="class: xl66, width: 87, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 124, bgcolor: transparent"]Mawaziri[/TD]
[TD="class: xl65, width: 121, bgcolor: transparent"]Manaibu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent"]Muslims[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]8/30 (26.7% )[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]7/25 (28%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent"]Christians[/TD]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]22/30 (63.3%)[/TD]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]18/25 (62%)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nadhani Mzee wa CDM, Ed Mtei atafurahi sana
 
Heshima kwenu wanabod! Leo nimefurahi sana kwa mbunge wangu wa Kalenga kutimiza ndoto yake aliyo kuwa nayo tangu alipo staafu kazi yake ya benki[NBC-MWANZA] kabla ya kurudi pale Magunga na kuanza harakati za kutimiza ndoto yake ambayo leo tar.04.04.2012 imetimia.Kwangu mimi nimefurahi sana kwani ameongeza exposure ili watanzania wamjue vizuri kwa utendaji wake na ahukumiwe na wankalenga kihalali.MAJUNGU SI MTAJI,NINAOMBA ASIJE KUJITETEA KWAMBA KAZI KWAKE NI NGENI KWANI AMEJIPAMBANUA MARA KADHAA KWAMBA YEYE NI MTAALAMU WA MASUALA YA FEDHA.NIJUAVYO MIMI HUYU NI CHAKULA YA ZITTO KATIKA MONETORY POLICIES KITU AMBACHO KITAPELEKEA UKOMBOZI WA KALENGA KUPITIA TODY'S EXPOSURE YA MWAMGIMWA BILL.POA TUKUTANE 2015. Nawasilisha,mawazo yangu.
 
Kutokana na madiliko ya baraza la mawaziri, Dr Hussein Mwinyi ameteuliwa kuwa Waziri wa afya. Dr Mwinyi ni mbunge toka Zanzibar na hii wizara siyo ya Muungano, inashughulika tu na afya upande wa Tanzania bara.
Zanzibar wanayo wizara yao ya afya

Hebu tuangalie hii changamoto!
 
Another 1st class economist like Mwigulu......Je wanatumiaje Elimu yao kwa wananchi wa kawaida!Porojo Tupu!Naona Yametimia!
 
Last time alikua BoT Mwanza kabla ya kustaafu. NBC ilikua kitambo zaidi!!
 
Ushauri wa bure kwa CCM, wasihainge hata kwa nusu saa kusimamisha mgombea Moshi Vijijini 2015. CCM ni bye bye.
 
Maana yake ni kutuliza mkali wa watu wa mbeya ili wajione wana waziri ila ukweli kule kumngewekwa vicky kamata.
 
Binafsi nimejiuliza ila sijapata jibu maalum, hii Ofisi zake zitakuwa wapi? Atawajibika kusimamia kitu gani hasa?
 
H.Mwinyi ni kipenzi cha JK. Anaandaliwa kuwa rais wa Zenji 2020.
 
Baba na mama wameona na ndoa imekaa miaka 2 baba anapima afya anaambia anangoma na afya ya mama inayumba, then msimamizi wa ndoa anasema mama hana ngoma! (Chami Vs Nyalandu), Hapa tunaona JK analinda maslahi ya vitega uchumi vyake vilivyopo kwenye mbuga za wanyama. Naibu waziri wa Sayansi na Technologia Makamba hapa tunaona ni mtu mpya kaingizwa wizarani lakini wana jamii mnakumbuka dada wa makamba yupo sekta gani (voda) sasa hapa hatujui dada kwa sasa hivi alitoa rushwa gani kama ile email iliyokua inazunguka au laa! Time will tell. wana JF tuchambua mambo kwa undani theni tuwape M4C analysis yetu, kama vipi sasa iwe kura ya kutokua na imani na Raisi maana tumechoka.
 
Back
Top Bottom