Kikwete afunguka, asema Rais Samia ‘amemfunika’

Akae ale pesa zake nyingi alizonazo kama bado amezawadiwa appetite ya kula !
Wengine wana pesa nyingi lakini hata appetite imeondolewa na Mungu 😳

Dunia hadaa Ulimwengu Shujaa 😳🤠
 
Kama inateua taasisi inamaana yeye hata kutuliza ili afahamu zaidi hawezi? Kama ni hivo basi kichwa chake empty brain,no medula oblangata and whatever
 
Walamba asali
 
Kama inateua taasisi inamaana yeye hata kutuliza ili afahamu zaidi hawezi? Kama ni hivo basi kichwa chake empty brain,no medula oblangata and whatever
Ameshakwambia ya kulaumiwa ni taasisi kwa hio wewe kaiulize taasisi sio yeye, una swali lingine uliza

Nezt
 
Huyu mzee nae si atulie waitafune nchi yeye na vitukuu vyake maana sasa hivia amebaki mwenyewe tu, sasa bado bado anajitoa hadharani kumbwela mbwela nini?
 
Ulitaka tuendelee kutumia mizizi wananchi wakose huduma za afya? Hujui afya ndio mtaji
 
Anamaanisha kwa KUSAFIRI nje ya nchi, pia kwa ufisasi serikalini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…