Kikwete afunguka, asema Rais Samia ‘amemfunika’

Waarabu wa Pwani hawa. Hivyo kufunikana ni jambo la kawaida kwao. Na mpaka huyu mama aondoke madarakani, watakuwa wamefunikana kwenye mambo mengi tu.
 
Huenda ni kweli kamfunika kwa ufisadi maana wote ni mafisadi wakubwa
 
Chadema na Sukuma gang watabisha 🤣🤣
 
Uyu mzee ipo siku tutakutana mbinguni ,nikiwa nyampara , nitamuashia moto sio wa ulimwengu ule
 
Sawa
 
Kwenye safari za nje ya nchi ni sawa ila kwa mambo mengine hatujawahi kupata kituko kama hiki tangu tupate uhuru na inawezekana kabisa hata huko mbele hakuna atakayeifunika rekodi Mbovu ya mama....
 
Vipi kuhusu safari, hajafunikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…