Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sanaHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
π
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
MfadhiliππMwenye nchi
Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana
ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote
binafsi nyyakati hii nafurahi sana
Kuna mahali Katiba ya CCM inatoa madaraka hayo?Kama mwenyekiti mstaafu wa chama
Maneno yake ndiyo yanaonesha alikuwa anaongoza kikao. Kuna tofauti kati ya mkutano na kikao cha mkutano Mkuu.Hakua anaongoza kikao, alikuwa anaongea kama mwenyekiti na Rais msitaafu
Kweli huyu mzee anakiharibu chamaHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
π
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Mshaanza kuamkaHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.