Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kama mwenyekiti mstaafu..
 
Mh Daktari JK ni
1. Mwenyekiti Mstaafu wa Ccm Taifa
2. Boss wa Daktari Samia.

Hapo kwenye uboss mimi nilikuwa sifahamu hadi nilipomsikia Daktari Samia akimtambulisha Daktari Kikwete kama boss wake.
 
Mh Daktari JK ni
1. Mwenyekiti Mstaafu wa Ccm Taifa
2. Boss wa Daktari Samia.

Hapo kwenye uboss mimi nilikuwa sifahamu hadi nilipomsikia Daktari Samia akimtambulisha Daktari Kikwete kama boss wake.
Hili ndo jibu sahihi. 100%. KipangaπŸ˜‚
 
Me nitakuwa wa mwisho kumuamini slow slow, why.... Japokuwa remote wanazo wao, ila bado wanataka kuwa TV, maana kuwa TV ni opportunity kubwa katika upigaji na kijilimbikizia Mali.
Remote wameshtuka TV haiuziki tena, wanatengeneza propaganda ili waivunje na wanamtumia slow slow, ili pia kupoteza mambo muhimu ya kujadili mfano Lisu na Chadema.

Mambo yakipoa October hii hapa... Lisu yupo jela... TV bado ile ile....
 
JK ni chawa wa Samia
 
Shida kubwa watu huchanganya kati ya waswahili na waislamu. Ingawa waswahili wengi ni waislamu lakini Uislamu si uswahili.
Uislamu ni kigezo kimoja wapo cha kuitwa mswahili ukiacha kutokea ukanda wa Pwani.

Sifa nyingine ya mswahili ni muongo muongo.
 
Anachotafuta slowslow tunaita " honor among thieves".

Wakishakubaliana tu "bao la mkono li pale pale"

Kondoo twafutahia vita ya mbwa mwitu
 
CCM inaendeshwa kinafikinafiki ili iendelee kutawala, msitegemee jipya kupitia CCM hata aje nani, maana nyuma ya pazia chama kimetekwa na wahusika wameiteka mpaka mifumo.

Namna pekee yakuinusuru Tanzania ni Wananchi kuikomboa nchi yao, na CCM ipigwe marufuku. Kabisa marufuki ikiwa pamoja na wanachama wake woote kupigwa marufuki kushiriki siasa.
 
Ukimpa jongpzi nyumba ndogo ya mtu, ujue umempa uongozi yule mwenye nyumba ndogo yake.

Siku zote nyumba ndogo inamtegemea mwenye nyumba ndogo kwa maamuzi yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…