Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kama mwenye kigoda aliye pumzika .a.k.a anaye karabati kigoda kilicho vunjika
 
Wewe ni mwana CCM? Kama sio Mwana CCM basi inafurahisha sana kuona unajitahidi sana kuyajua ya CCM kuliko ya chama chako kwa maana unajua CCM ndio inatawala na itaendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingi ijayo!
 
Observation yako ipo vizuri sana. First impression Ina matter. Kwanza walipigwa na bumbuwazi baadae ndio waka fake kushangilia kinafiki.
 
Reactions: Lax
T
Mh Daktari JK ni
1. Mwenyekiti Mstaafu wa Ccm Taifa
2. Boss wa Daktari Samia.

Hapo kwenye uboss mimi nilikuwa sifahamu hadi nilipomsikia Daktari Samia akimtambulisha Daktari Kikwete kama boss wake.
Tafadhali naomba uweke hapa kipande cha video kikionyesha Samia akimtambulisha JK kama boss wake.
 
Msajili yote haya ameziba macho na masikio yake Eti haoni jicho lote ameelekeza CHADEMA,Msajili ni mpumbavu wa kupitiliza,Epuka kufanya jambo ambalo kila mtu,pamoja na ww unaelifanya unajua unafanya makosa ya makusudi maana kesho utashindwa kujitetea,na utalia na kusaga meno hakuna atakae kuelewa.
 
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Mkuu 'Allen Kilewella', unauliza swali, ambalo kwa wengi sasa wataliona kama halina uzito wowote, lakini ni swali la msingi kabisa.

Sasa mimi nitakujibu, wala siyo jibu la kejeli, ni jibu ambalo sina mashaka nalo kabisa.
HaPo Kikwete ni Mwenyekiti kwa sababu ndiye mkuu wa GENGE linalosimama nyuma na mbele ya Samia.

Na hakuna aliyediriki kuhoji, kama unavyohoji wewe haPa, ndani ya kikao hicho, kwa sababu zilizo wazi; haPakuweo na mwenye ubavu wa kuhoji.
Hivyo ndivyo nchi yetu imekuwa ikiendeshwa, kama mali ya GENGE hili la waovu.
 
WaogoPe sana watu mataPeli wa aina ya Kikwete na Samia. Hawa ni mataPeli tena waliojaa kila aina ya ulaghai!
 
Labda muhuni

Rejea,vikao vya chama 2015 upatikanaji wagombea mchakato wake,kikwete akiwa mwenyekiti taifa ccm na leo wezake hawapo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…