evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Yeye alikuwa mamluki manake sio mjumbe wa mkutano mkuuHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
π
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Kwenye katiba ya ccm inaeleza wajumbe wa mkutano mkuu , wapi wameeleza wazee wa busara ni wajumbe wa mkutano mkuuKijiji hakikosi wazee wa Busara
Alitoa maoni yake kama nani wakati sio mjumbe wa kikaoWalikuwa wanajadili hilo swala la kumteua mgombea urais.
Yeye nae akatoa maoni yake.
Wengi walipewa fedha. Mbele ya fedha watu husahau hadi utu.sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana
ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote
binafsi nyyakati hii nafurahi sana
Huyu mzee atakuja kufa mdomo wazi anaichezea sana hii nchiHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
π
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Hapa kikwete aliombwa ushauri kama mzee wa chama ambapo aliulizwa kupitisha jina kwa siku hiyo ilikuwa sawa? Ndo hapo akakumbushia 2005 jinsi alivyoteuliwa yeyeHumphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
π
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Atakufa Vibaya, Namuonea HurumaHuyu mzee atakuja kufa mdomo wazi anaichezea sana hii nchi
Miaka minee yote hii wameimba mitano tena kila kona mkuu. Huyu ni mgombea wao halaliWengi walipewa fedha. Mbele ya fedha watu husahau hadi utu.