Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Umewahi sikia shule za middle school??? mtu wa darasa la nne kipindi hicho ni kidato cha nne kwa sasa
 
VIPI MONDULI UMBALI WAKE NA USA RIVER SIO KWELI UTOKE MONDULI KWA MIGUU UPITE MJI WA ARUSHA USIPATE LIFT BADO UENDELEE KUTEMBEA MPAKA USA RIVER WAPI NA WAPI SIO KWELI


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza si kweli, lakini pia maisha bila fitna hayaendi. Kina chausiku ni fitna tupu mpaka mwenyekigoda wao amekuwa wa maisha.
 
M
Mzee wa figisu😂😂
 
Barua za kijeshi bila file. Badala ya kwenda kwa IO. inazunguka mkononi kirahisi hivyo. Ni kweli General alikuwa akifanya biashara, mkewe na sio General. Mkumbuke mkuu alikuwa aruhusiwi kufanya biashara. Wakati ule.
 
VIPI MONDULI UMBALI WAKE NA USA RIVER SIO KWELI UTOKE MONDULI KWA MIGUU UPITE MJI WA ARUSHA USIPATE LIFT BADO UENDELEE KUTEMBEA MPAKA USA RIVER WAPI NA WAPI SIO KWELI


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtoa mada kaandika uongo wa kimajungu
 
Mh. Kikwete na Mwalimu Nyerere, usiseme usilolijuwa mpaka Mh. Kikwete kufika madaraka ya juu toka chini ni mkono wa Mwalimu ulihusika kwa asilimia kubwa sana.
Viongozi wengi wakubwa walipikwa na kuandaliwa na Mwalimu tena kwa mapenzi makubwa.inawezekana ilikuw kweli ila njia za Mwalimu kufundisha mtu zilikuwa ngumu sanaaa.
 
Hahahaa ni noma sana,hapo aliona mmasai anaenda kuchukua BOMBA akona bora ajikatae.
 
Barua lazima kupitia file. Ndipo ipitishwa kwa Rais. Sio barua ya kishikaji, ni barua ya kishushushu. Na Gen aliasing fomu ya kiapo cha kutokuwa na hisa wala kipoto cho chote njee ya Utumishi wake. Na hii ilikuwa taarifa kwa Mkuu wa nchi
 
Vipi kuhusu mzee Mwamindi na ishu ya ujamaa!Unahisi haikuwa wivu pia?.
 
Ukizingatia na sakata la mzee Mwamindi kuchabanga somebody kleruu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…