Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Uzalendo gani kama priority ya uongozi ni kuwanufaisha familia, jamaa na marafiki zako? Huo sio uzalendo. Uongozi unakuwa ni project binafsi ya kuendeleza mambo yasiyo na tija kwa umma wote wa watanzania
Mkuu!Mwanzo JK alisimamia uzalendo kulingana na sera za serikali za wakati huo.Kitendo cha JKN kumpuuza JK,uenda kilisababisha JK kubadili msimamo kwa kuona kumbe kuna unafiki ndani ya dhamira ya JKN.Kilichofuata ni kuacha kila mtu achukue akiweza.
 
Mkuu!Mwanzo JK alisimamia uzalendo kulingana na sera za serikali za wakati huo.Kitendo cha JKN kumpuuza JK,uenda kilisababisha JK kubadili msimamo kwa kuona kumbe kuna unafiki ndani ya dhamira ya JKN.Kilichofuata ni kuacha kila mtu achukue akiweza.

Circumstance has never made a man, but revealing him. He is who he is. I am who I am. Not short of that!!!
When we justify our curse by thinking the problem is out there, while we are the owners. The problem is inside us. We are corrupt, power mongers and selfish.
 
Ukitoka chuoni unakatisha Barabara Kutoka Monduli inayopita umbali wa mita tano, mbele ya geti, unapandisha vilima vya Nengungu vinavyoanzia baada ya kukatisha Barabara, unapandisha Kwa Musa Barabara ya zamani inayotoka Arusha kwenda Monduli, ambayo wakati ule ilikuwa haitumiki sana. Unakatisha mashamba ya dengu, unashukia kilima Cha Kisongo, hadi Mnada wa Kisongo. Ni Kilomita 25, Kwa yeye Mjeshi huenda alizitembea tu. Halafu huenda hakufuata Barabara ya Dom-Ars ya kuingiza mjini Arusha au hapo mnadani yawezekana ndipo alipata malori ya ushirika akaenda Kwa Mjomba wa rafiki yake Shimbo huko USA River. Shida Iko Wapi?
 
Azimio la Arusha halikuruhusu UJASIRIAMALI kwa mtumishi wa umma sembuse makambini ?!!!![emoji15][emoji15]

Una uhakika JK kutuma hiyo barua halikuwa miongoni mwa majukumu yake?!!!!
Hapa nadhani ni kipindi Baba wa Taifa alikuwa mwisho mwisho wa utawala wake. Nakumbuka 1975 alimuondoa MKUU wetu Mmoja alikuwa Mmiliki wa Banana Bar na Rose Store pale Ukonga Minazi Mirefu, baada ya suala lake kijadiliwa na Kamati kuu ya Tanu wakati ule, kwamba alikuwa anakiuka miiko ya uongozi Kwa kumiliki biashara hizo. Kwahiyo ni sawa hata Sayore Nae alikuwa anafanya biashara. Pia tutakumbuka Kwa wale wahenga wenzangu kuhusu Waziri Maswanya alikuwa anafuga kuku wengi pale Majumba SITA Ukonga Nae aliondolewa Kwenye Uwaziri Kwa kukiuka miiko ya uongozi chini ya Azimio la Arusha kama Sayore na huyu kiongozi WA Ukonga.
 
Hapa nadhani ni kipindi Baba wa Taifa alikuwa mwisho mwisho wa utawala wake. Nakumbuka 1975 alimuondoa MKUU wetu Mmoja alikuwa Mmiliki wa Banana Bar na Rose Store pale Ukonga Minazi Mirefu, baada ya suala lake kijadiliwa na Kamati kuu ya Tanu wakati ule, kwamba alikuwa anakiuka miiko ya uongozi Kwa kumiliki biashara hizo. Kwahiyo ni sawa hata Sayore Nae alikuwa anafanya biashara. Pia tutakumbuka Kwa wale wahenga wenzangu kuhusu Waziri Maswanya alikuwa anafuga kuku wengi pale Majumba SITA Ukonga Nae aliondolewa Kwenye Uwaziri Kwa kukiuka miiko ya uongozi chini ya Azimio la Arusha kama Sayore na huyu kiongozi WA Ukonga.
Tuhitimishe tu kuwa JK alifanya kilichopaswa kufanywa,yaani uzalendo.
 
Nimeamini unafiki na Usaliti Ni Tabia ya mtu kutoka utotoni na mpaka kufa kwake hatoiacha kamwe..!
 
Hii story authenticity yake haijajulikana vizuri, so let's say all with a grain of salt. Lakini nilishawahi kusikia kwamba Kikwete aliondoka Monduli kwa political intrigue na alikuwa hapatani na "real soldiers". So I am not very surprised to hear these details.

1. Probably hapo kulikuwa na political intrigue and ladder climbing kama motive kwa Kikwete.

2. Hata kama 1. ni kweli, Kikwete alichofanya kilikuwa sawa (as much as I don't like him, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni). Huwezi kuwa na Mkuu wa Chuo anayeuzia Chuo chakula kutoka shamba lake, conflict of interest.

3. Inawezekana kabisa Kikwete karuka escalation points kibao katika food chain. Lakini vipi kama aliona katika mfumo wa jeshi kuna kulindana kwingi na hatua hazitachukuliwa? Vipi kama aliona mtu pekee mwenye uwezo wa kumaliza haya ni Nyerere?

4. Nyerere kwa kusema "nendeni kayamalizeni huko huko" bila hata kutoa msimamo wakati anajua jeshi linaenda kwa kulindana na kumpata whistleblower kama Kikwete ni adimu ali abdicate majukumu kama kiongozi.

5. Nyerere kwa kumsaliti whistleblower Kikwete alikiuka maadili, ni kama alikuwa anataka kulindana kuendelee jeshini halafu Kikwete apatwe na mabaya. Kiongozi gani anafuga migogoro na kuacha jeshi ligubikwe na kulindana? Kwa kusema "Nendeni kayamalizeni huko huko" ina maana alikuwa hajali outcome itakuwaje.

Kama hii story ingekuwa imeandikwa kwa nia ya kumpamba Kikwete ningekuwa na mashaka nayo zaidi, lakini kwa sababu imelenga kumpaka matope Kikwete kama "mnafiki" wakati kwa ukweli ukiangalia utaona ali act kama whistleblower aliyekuwa betrayed, kwangu mimi ni moja ya stories chache sana za Kikwete zinazonionyesha Kikwete katika a positive light.

Labda Kikwete ni kiongozi mbovu sasa kwa sababu alivyokuwa kijana zaidi katika siasa alijaribu kuja na moto wa kupinga ufisadi akaona disappointment tu. Mtu unaenda kuripoti ufisadi kwa rais, rais anakusaliti. Akaona ha, kumbe style yenyewe ndiyo hii, ngoja na mimi niwe fisadi tu kieleweke, maana unaweza kujidai unapinga ufisadi ukauawa bure.

I am just saying.
[emoji108]
 
Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
huo ni uwongo kabisa,mwl asingeruhusu bepari mwanajeshi
 
Kighoma Malima alikufa kwa mshituko baada ya kuwapa misamaha ya kodi wahindi lukuki wakimuahidi kuwa fedha wamemuwekea ulaya , kwenda kucheki account ya VIJISENTI vyake akakuta hakuna kitu; basi mzaramo alikuwa amefuatana na mwali wake ikabidi AFE!!
acha uongo mimi nilikuwa london wakati huo,malima alikufa kwa kuuawa nyumbani kwake akiwa na mkewe mdogo bi mayasa na wakati huo,huyu adam alikuwa anasoma london,na alikuwa katoka kwa balozi wa tanzania aliyekuwa uingereza ambako alikaribishwa kula,alirudi kwake,ana nyumba yake london,akawa anapika prawns,wakala na mayasa wakalala,baada ya muda,alianza kukoroma sana,ndipo mkewe akampigia simu adam mwanae,ambae alinipigia mimi tukaenda hadi hapo,adam akampigia balozi wa tanzania,ambae ndio alipiga simu polisi ambao walikuja na daktari kumpima,kumbe jamaa alishajifia muda mrefu sana,alipelekwa kufanyiwa uchunguzi ambao adam anajua kila kitu,na adamu ndio alichukua briefcase ya malima ambayo ilikuwa ina siri za viongozi wengi wa nchi ambao malima alitaka kuwalipua ndio nchi ikamuwahi,uliza watu vizuri wanaomjua malima watakwambia jamaa alikuwa mwaminifu sana,tofauti na uongo mwinginunaosambazwa dhidi yake
 
Watu wanasema siku ya kifo chake alikuwa na mazungumzo marefu na mwanae Adam - ya kuanzisha chama cha upinzani!
ukumbuke wakati huo tayari alishajiunga na chama cha akina olotu cha nra rafiki na tayari alishanunua nyumba dar ili iwe makao makuu ya hicho chama,hata hivyo adam hakukubaliana na baba yake,juu ya kuhama kwake mimi nilikuwa nikiishinlondon wakati huo,na adam alikuwa rafiki yangu
 
Back
Top Bottom