acha uongo mimi nilikuwa london wakati huo,malima alikufa kwa kuuawa nyumbani kwake akiwa na mkewe mdogo bi mayasa na wakati huo,huyu adam alikuwa anasoma london,na alikuwa katoka kwa balozi wa tanzania aliyekuwa uingereza ambako alikaribishwa kula,alirudi kwake,ana nyumba yake london,akawa anapika prawns,wakala na mayasa wakalala,baada ya muda,alianza kukoroma sana,ndipo mkewe akampigia simu adam mwanae,ambae alinipigia mimi tukaenda hadi hapo,adam akampigia balozi wa tanzania,ambae ndio alipiga simu polisi ambao walikuja na daktari kumpima,kumbe jamaa alishajifia muda mrefu sana,alipelekwa kufanyiwa uchunguzi ambao adam anajua kila kitu,na adamu ndio alichukua briefcase ya malima ambayo ilikuwa ina siri za viongozi wengi wa nchi ambao malima alitaka kuwalipua ndio nchi ikamuwahi,uliza watu vizuri wanaomjua malima watakwambia jamaa alikuwa mwaminifu sana,tofauti na uongo mwinginunaosambazwa dhidi yake