DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Kumbe huyu CHEKIBOBU WA MSOGA kaanza unafiki toka kitambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo siyo unafikiri.Kumbe huyu CHEKIBOBU WA MSOGA kaanza unafiki toka kitambo!
Mkwere ndivyo alivyo fatilia anavyomshughulikia Mar Prof Kighoma Malima!
Uzalendo gani kama priority ya uongozi ni kuwanufaisha familia, jamaa na marafiki zako? Huo sio uzalendo. Uongozi unakuwa ni project binafsi ya kuendeleza mambo yasiyo na tija kwa umma wote wa watanzaniaUzalendo siyo unafikiri.
Mkuu!Mwanzo JK alisimamia uzalendo kulingana na sera za serikali za wakati huo.Kitendo cha JKN kumpuuza JK,uenda kilisababisha JK kubadili msimamo kwa kuona kumbe kuna unafiki ndani ya dhamira ya JKN.Kilichofuata ni kuacha kila mtu achukue akiweza.Uzalendo gani kama priority ya uongozi ni kuwanufaisha familia, jamaa na marafiki zako? Huo sio uzalendo. Uongozi unakuwa ni project binafsi ya kuendeleza mambo yasiyo na tija kwa umma wote wa watanzania
Mkuu!Mwanzo JK alisimamia uzalendo kulingana na sera za serikali za wakati huo.Kitendo cha JKN kumpuuza JK,uenda kilisababisha JK kubadili msimamo kwa kuona kumbe kuna unafiki ndani ya dhamira ya JKN.Kilichofuata ni kuacha kila mtu achukue akiweza.
Hapa nadhani ni kipindi Baba wa Taifa alikuwa mwisho mwisho wa utawala wake. Nakumbuka 1975 alimuondoa MKUU wetu Mmoja alikuwa Mmiliki wa Banana Bar na Rose Store pale Ukonga Minazi Mirefu, baada ya suala lake kijadiliwa na Kamati kuu ya Tanu wakati ule, kwamba alikuwa anakiuka miiko ya uongozi Kwa kumiliki biashara hizo. Kwahiyo ni sawa hata Sayore Nae alikuwa anafanya biashara. Pia tutakumbuka Kwa wale wahenga wenzangu kuhusu Waziri Maswanya alikuwa anafuga kuku wengi pale Majumba SITA Ukonga Nae aliondolewa Kwenye Uwaziri Kwa kukiuka miiko ya uongozi chini ya Azimio la Arusha kama Sayore na huyu kiongozi WA Ukonga.Azimio la Arusha halikuruhusu UJASIRIAMALI kwa mtumishi wa umma sembuse makambini ?!!!![emoji15][emoji15]
Una uhakika JK kutuma hiyo barua halikuwa miongoni mwa majukumu yake?!!!!
Tuhitimishe tu kuwa JK alifanya kilichopaswa kufanywa,yaani uzalendo.Hapa nadhani ni kipindi Baba wa Taifa alikuwa mwisho mwisho wa utawala wake. Nakumbuka 1975 alimuondoa MKUU wetu Mmoja alikuwa Mmiliki wa Banana Bar na Rose Store pale Ukonga Minazi Mirefu, baada ya suala lake kijadiliwa na Kamati kuu ya Tanu wakati ule, kwamba alikuwa anakiuka miiko ya uongozi Kwa kumiliki biashara hizo. Kwahiyo ni sawa hata Sayore Nae alikuwa anafanya biashara. Pia tutakumbuka Kwa wale wahenga wenzangu kuhusu Waziri Maswanya alikuwa anafuga kuku wengi pale Majumba SITA Ukonga Nae aliondolewa Kwenye Uwaziri Kwa kukiuka miiko ya uongozi chini ya Azimio la Arusha kama Sayore na huyu kiongozi WA Ukonga.
Labda masjala aliTypekIPINDI HICHO KULIKUWA NA FOTOKOPI MASHINE KWELI?
[emoji108]Hii story authenticity yake haijajulikana vizuri, so let's say all with a grain of salt. Lakini nilishawahi kusikia kwamba Kikwete aliondoka Monduli kwa political intrigue na alikuwa hapatani na "real soldiers". So I am not very surprised to hear these details.
1. Probably hapo kulikuwa na political intrigue and ladder climbing kama motive kwa Kikwete.
2. Hata kama 1. ni kweli, Kikwete alichofanya kilikuwa sawa (as much as I don't like him, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni). Huwezi kuwa na Mkuu wa Chuo anayeuzia Chuo chakula kutoka shamba lake, conflict of interest.
3. Inawezekana kabisa Kikwete karuka escalation points kibao katika food chain. Lakini vipi kama aliona katika mfumo wa jeshi kuna kulindana kwingi na hatua hazitachukuliwa? Vipi kama aliona mtu pekee mwenye uwezo wa kumaliza haya ni Nyerere?
4. Nyerere kwa kusema "nendeni kayamalizeni huko huko" bila hata kutoa msimamo wakati anajua jeshi linaenda kwa kulindana na kumpata whistleblower kama Kikwete ni adimu ali abdicate majukumu kama kiongozi.
5. Nyerere kwa kumsaliti whistleblower Kikwete alikiuka maadili, ni kama alikuwa anataka kulindana kuendelee jeshini halafu Kikwete apatwe na mabaya. Kiongozi gani anafuga migogoro na kuacha jeshi ligubikwe na kulindana? Kwa kusema "Nendeni kayamalizeni huko huko" ina maana alikuwa hajali outcome itakuwaje.
Kama hii story ingekuwa imeandikwa kwa nia ya kumpamba Kikwete ningekuwa na mashaka nayo zaidi, lakini kwa sababu imelenga kumpaka matope Kikwete kama "mnafiki" wakati kwa ukweli ukiangalia utaona ali act kama whistleblower aliyekuwa betrayed, kwangu mimi ni moja ya stories chache sana za Kikwete zinazonionyesha Kikwete katika a positive light.
Labda Kikwete ni kiongozi mbovu sasa kwa sababu alivyokuwa kijana zaidi katika siasa alijaribu kuja na moto wa kupinga ufisadi akaona disappointment tu. Mtu unaenda kuripoti ufisadi kwa rais, rais anakusaliti. Akaona ha, kumbe style yenyewe ndiyo hii, ngoja na mimi niwe fisadi tu kieleweke, maana unaweza kujidai unapinga ufisadi ukauawa bure.
I am just saying.
Kulikuwa na mashinne manual zinaitwa stencil duplicator. Zilikuwa zinafanya kazi kama photocopier ila ni za mkono.Labda masjala aliType
huo ni uwongo kabisa,mwl asingeruhusu bepari mwanajeshiMi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
acha uongo mimi nilikuwa london wakati huo,malima alikufa kwa kuuawa nyumbani kwake akiwa na mkewe mdogo bi mayasa na wakati huo,huyu adam alikuwa anasoma london,na alikuwa katoka kwa balozi wa tanzania aliyekuwa uingereza ambako alikaribishwa kula,alirudi kwake,ana nyumba yake london,akawa anapika prawns,wakala na mayasa wakalala,baada ya muda,alianza kukoroma sana,ndipo mkewe akampigia simu adam mwanae,ambae alinipigia mimi tukaenda hadi hapo,adam akampigia balozi wa tanzania,ambae ndio alipiga simu polisi ambao walikuja na daktari kumpima,kumbe jamaa alishajifia muda mrefu sana,alipelekwa kufanyiwa uchunguzi ambao adam anajua kila kitu,na adamu ndio alichukua briefcase ya malima ambayo ilikuwa ina siri za viongozi wengi wa nchi ambao malima alitaka kuwalipua ndio nchi ikamuwahi,uliza watu vizuri wanaomjua malima watakwambia jamaa alikuwa mwaminifu sana,tofauti na uongo mwinginunaosambazwa dhidi yakeKighoma Malima alikufa kwa mshituko baada ya kuwapa misamaha ya kodi wahindi lukuki wakimuahidi kuwa fedha wamemuwekea ulaya , kwenda kucheki account ya VIJISENTI vyake akakuta hakuna kitu; basi mzaramo alikuwa amefuatana na mwali wake ikabidi AFE!!
ukumbuke wakati huo tayari alishajiunga na chama cha akina olotu cha nra rafiki na tayari alishanunua nyumba dar ili iwe makao makuu ya hicho chama,hata hivyo adam hakukubaliana na baba yake,juu ya kuhama kwake mimi nilikuwa nikiishinlondon wakati huo,na adam alikuwa rafiki yanguWatu wanasema siku ya kifo chake alikuwa na mazungumzo marefu na mwanae Adam - ya kuanzisha chama cha upinzani!