Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Siri mtazitoa tu,pole pole.
 
Acheni kumsema na kumsakama kikwete, kwani lowasa hakua na mapungufu!
 
Acheni kumsema na kumsakama kikwete, kwani lowasa hakua na mapungufu!
Ya Lowassa na ya Kikwete yote ni mapungufu,ila ya Kikwete yamezidi.Na wewe ukitaka weka ya Lowassa,sisi tumeamua kuanika ya Kikwete,ametendea Watanzania mabaya mengi sana.
 
Nasikia kipindi hiko ndiko alikutana na mbobezi Camilius Membe .Membe akiwa kitengo
 
Ya Lowassa na ya Kikwete yote ni mapungufu,ila ya Kikwete yamezidi.Na wewe ukitaka weka ya Lowassa,sisi tumeamua kuanika ya Kikwete,ametendea Watanzania mabaya mengi sana.

Sasa hata ukimsema unapata faida gani zaidi ya kuchuma dhambi! Au hujui nini maana ya dhambi!
 
Ulifikia wapi mzee
 
Hapo mnafiki alikua ni nyerere mzee alikua anapenda fitna na kwa scenario hiyo hakua na busara hata kidogo
 
Point taken,though not well presented.Mkataba wa Mwitongo comes into my mind.Ni mkataba wa dhuluma na evil sana.Ni watu waovu tu wanaoweza kufikiria kimwitongo.

hearsay and gossip. fotokopi monduli miaka ya 70 wadanganyika bana!
Mpaka miaka ya 80 hadi 90, kuna maeneo mengi tu ya nchi walikuwa na hizo photocopy za manual. Na ynatoa photocopy vyema kabisa, wakitumia stencils
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…