Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.
 
Wengine humu walishaandika alikuwa ananyemelea wake za wenzake huyu naye kaja na lake. Huuu ni upuuzi tu. Kama ilikuwa hivyo kumbe hata ccm ya Nyerere ilikuwa imeoza tu, itakuwaje mnafiki mmpangine kazi nyingine ya chama?
 
Yote hayo ni sifa za mkwere! Kupenda wanawake na fitina. CCM imeoza toka zamani ndo maana kuna mikakati ya kuipumzisha ije upya.
 
MkamaP,
Mtu wa fitina katika jamii ni sawa na mchawi ati!

Mimi mtu wa fitna ni huyu anayekuja na stori hizi leo, kwanini hawakuzitoa 2005 hizi fitina? Tuseme tu jamaa ameshindwa kuongoza, badala ya kuanza kuingiza mambo ya ajabu ajabu kabisa.
 
Jamaa ni Luteni vilee?
Zamani ilikuwa ni lazima kupitia jeshi kama ingekuwa ni hiari mh sijui kama ange'join.
 
Yote hayo ni sifa za mkwere! Kupenda wanawake na fitina. CCM imeoza toka zamani ndo maana kuna mikakati ya kuipumzisha ije upya.

Nakubaliana na wewe rev. kwamba ccm imeoza toka zamani ,huoni watu ni wa fitini sana kumsifia Nyerere kumbe ndo aliozesha mambo yote, hii ni kwa staili mleta maada.

Rev, sio ccm iliyooza ni watanzania karibu wote wenye umri fulani (sitautaja) wamefubaha (bakubhaga) regardless ya chama walichomo.
 
Na mpiga Zumari mkubwa wa hoja hiyo akiwa ni ambaye amekuja kuwa mlevi wa kutupwa ndugu SALUM MSABAHA-
 
Wengine humu walishaandika alikuwa ananyemelea wake za wenzake huyu naye kaja na lake. Huuu ni upuuzi tu. Kama ilikuwa hivyo kumbe hata ccm ya Nyerere ilikuwa imeoza tu, itakuwaje mnafiki mmpangine kazi nyingine ya chama?

Kutoka Mkufunzi wa siasa CTU Monduli mpaka kamisaa wa siasa wa wilaya....Nachingwea....ni adhabu tosha sana...endelea kutoamini
 
Mi nina wasiwasi kidogo...hizo ni taarifa za ki intelijensia, inakuwaje Mwalimu azipotezee kihivyo....sio kuwa jamaa alikuwa asset wa kulete taarifa?.....unless alikuwa na watu wake wengine.....sijui...mawazo tu.

nadahani mwalimu alikuwa anamuamini mtu aliyekuwa anafitiniwa..hata kama ni wewe unaletewa majungu ya mtu unayemjua huwezi kukurupuka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…