So mnaona ilikuwa bora kununua bidhaa hizohizo kutoka nje ya mkoa, kuliko kuzipata palepale kambini?
Nyerere alifikiria, akaona kuwa ni bora kuokoa gharama ya transportation kwa kununua hapohapo, ndio maana akaipuuza barua ya mzee wa fitna!
PakaJimmy,
Sisemi kwamba alilofanya Sayore halikuwa bora kwa utaratibu wa kawaida especially nyakati hizi za biashara huria,however ili tuwe fair,ni lazima tukumbuke kuwa alichokuwa akifanya Sayore nyakati zile,hakikuendana na sera alizokuwa akizipreach mwalimu,no wonder hata ccm leo inaplay game similar to mwalimu's mistake,nasema "Mistake" kwasababu sitaki kuamini kuwa mwalimu alitusababishia haya kwa kutaka.
However,ccm bado wako vuguvugu kama enzi zile maana ni chama cha kijamaa kinachofanya mambo kibepari,na sasa si kibepari tena,bali imegeuka kuwa kifisadi!
Kuna anayejua kuwa ndani ya mashamba hayo ni nani alikuwa akifanya kazi na gharama za uendeshaji wa mashamba hayo kama zilikuwa toka mfukoni kwake pekee?
Vinavyoendelea sasa hivi chini ya ccm kumbe vilianza zamani,the only difference is who was doing it!Mtu binafsi kumiliki mashamba makubwa ilikuwa ni ukabaila kwa wakati huo,mashamba makubwa yalikuwa mali ya umma ama serikali...Sasa sishangai kuona kuna wanafunzi wa tofauti tofauti wa mwalimu,kuna wenye nazo na kuna wasio nazo....Kuna walioruhusiwa kuwa mabepari by the virtue of either militarism kama ilivyo kwa Sayore na wengineo or maybe freedom fighting kama ilivyo kwa kina Rupia,Kahama nk.
Ni wazi mwalimu aliwa confuse si tu wananchi,bali hata wanafunzi wake.
Wewe hapo juu umetoa utafsiri wako binafsi kuwa mwalimu hakuchukua hatua yoyote kwasababu aliona ni bora kuokoa gharama za usafirishaji,that is a very naive approach i am afraid!
Mwalimu ali gave up a lot of things kwa sababu ya kusimamia yale anayoamini,sasa kuniambia kuwa gharama za usafiri zilisababisha mwalimu akaukumbatia ukabaila,basi then hiyo ndo tafsiri yako kanganyifu kama zilivyo tafsiri nyingi tu zinazohusiana na why this or that happened to this country etc.
Ukitumia akili zaidi,utaona kuwa mwalimu alipima akaona kuwa hawezi kuchonganishwa dhidi ya wanajeshi wake haswa ukizingatia kuwa kulishakuwa na dalili za uasi huko nyuma...Aliona consequences za kumnyang'anya labda zingekuwa mbaya zaidi ya kumwachia aendelee na biashara hiyo.....Same thing with ufisadi nowadays,viongozi wanaona consequences za kuwashughulikia mafisadi ni nyingi,wengine wanasema uchumi utayumba,nchi haitatawalika nk!
Kuna mwana JF aliyesema huko nyuma kuwa huwezi kuishona nguo uliyoivaa,ni lazima uivue kwanza....Solution ni revolution na si ku handpick vijistory ambavyo haviwezi kutusaidia especially ka utafsiri wetu wa issue ndo kama huu!
Na pia labda mwalimu alitizama nia ya mpeleka ujumbe nk,kusema ilikuwa ni gharama za usafirishaji ni kushindwa kufikiri kwa undani zaidi.