Kishatumbuiza Vick Kamata kisha wakatumbuiza wasanii wa TMK wakiongozwa na Juma Nature, wametinga mavazi ya CCM kwa raha zao.
Sasa anatumbuiza Flora Mbasha, anaimba "Kikwete Kiongozi bora, Ushindi ni LAZIMA".
Violeth Mzindakaya ndiye MC wa shughuli hii.#
Wamehudhuria Lipumba, Mrema na viongozi wa Demokrasia Makini
Yeah, ndo wanaimba hivyo!chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiiiiiiiii, eh chamaaaaaaaaaaa, ehhhhhhhhhh!
Tafadhali mkuu, si upinzani wote!Upinzani pia wapo!
CHADEMA hakuna mtu nadhani, maana hajatangazwa. Wapo Lipumba na Mrema, Demokrasia Makini wametuma mwakilishi nao.Sisi (chadema) wametupa mwaliko? Ipo live TBC1?
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:Mkuu nipo ndani ya ukumbi, si unajua sisi wadau haswa... 😎
Dokii amejazia kwelikweli... Anasifia KIKWETE ANAWEZAAAA!
nainjoy burudani mkuu. live on TBC1Yeah, ndo wanaimba hivyo!
Sasa anaongea Chiligati.
Wanafunzi wa Vyuo vikuu watapewa fursa ya kuimba pia.
Sasa wanatumbuiza TOT, wamevaa njano sanaaa. Wanaimba OVYO kabisa leo