Yah, just learned kwamba MS unafanya utafiti kujua hali ya kisiasa kwa mkuu ipoje? Naona unataka kujua ni wangapi wanamuunga mkono JK na wangapi wanampinga, na zaidi ya yote nimegundua kwamba unajaribu kuanzisha maada tata ili kuangalia watu wanawaza nini kuhusu Kikwete na Dr. Slaa. Nafikiri utafiti wako ni mzuri, na ni vizuri utupe matokeo ya utafiti huu mapema kabla ya uchaguzi na uutangaze magazetini kama REDET wanavyofanya. Naamini matokeo ya utafiti wako yatasaidia sana kumpandisha Dr. Slaa kwenye kampeni zake. Maana ni dhahiri kwamba tangu post zako za kampeni zianze kuwekwa hapa zimeungwa mkono na Tumain pekee. Kwa hiyo tangaza matokeo kwenye vyombo vya habari kwamba kati ya wanaJF zaidi ya 50000 waliowahi kujibu post zako, ni mmoja tu aliyekuwa against Dr Slaa.