Elections 2010 Kikwete ashuka ghafla kutoka jukwaani bila kuaga

Elections 2010 Kikwete ashuka ghafla kutoka jukwaani bila kuaga

Naamini JK yuko fit, maana kama ni kweli anamaradhi, basi yataonekana tuu, maana mficha maradhi.....

Natumaini tukio la Jangwani na hilo la Musoma halina uhusiano na afya yake. Sijui lini kutakuwa na utaratibu wa afya ya kiongozi kuwa wazi kwa public. Hizi speculation za afya za viongozi zinachangiwa sana na usiri mkubwa inapokuja kwenye suala hili.
 
"Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa wakazi wa maeneo jirani na uwanja huo walikodishiwa magari na CCM kuhakikisha kila mkereketwa wa chama hicho anahudhuria mkutano huo wa kampeni"...

CCM kwisha kabisa!
Hizi ni dalili za mwanzo wa mwisho wa Utawala wa CCM. Kwa wanahistoria, mtakumbuka kuwa dalili hizi ni sawa na ilivyokuwa mwanzo wa mwisho wa dola (Empire) ya Ottman iliyotawala Uturuki kati ya 1299 na 1923.

Asiyejua kufa atazame kaburi!
 
Du siasa kumbe si-hasa! nilikuwepo mkutanoni na nashangaa kilichoandikwa na niliyoshuhudia ni tofauti sana. sasa sielewi sijui ndio ugonvi ule wa mwandishi wa Mwanachi kukataliwa kule Bukoba ndio imekuwa uhasama au ni tofauti za uelewa na uwezo wa kufuatilia mambo... lakini kwa ufupi tu habari hii imepotosha sana ukweli wa matukio yanayojiri katika mikutano ya kampeni. kibaya zaidi hata maswali/hoja nazotoa mwandishi sijui ni za nini wakati msingi wa habari yake ni kuripoti kilichojiri na si kufanya uchambuzi. kama ni uchambuzi angeandika makala lakini ripoti iwe taarifa wasomaji tuchambue. kama uandishi wa kampeni ndio huu ni kuaibisha taaluma. aibu!!! mnajidhalilisha mwananchi na napoteza imani nanyi!!!!
 
mjenga hoja anataka kaposha MIMI NILIKUWEPO ALIAGA NDO AKWA AMEMALIZA HOTUBA

HOTUBA ILIFIKA MWISHO
 
Tatizo la kikwete afya yake sio nzuri hilo liko wazi, ila ni mbaya zaidi pale kikwete anapong'ang'ania kuendelea na kampeni wkt akijua anavunja katiba inayomtaka kuwa na afya njema........nyerere alishaonya "kwa mtu mwaminifu kabisakabisa,ikulu ni mzigo"...sasa kikwete mbona mzigo uliishamshinda lakini anang'ang'ania....angejijengea heshima ya pekee iwapo angeamua kujiengua kugombea kwani afya yake haimruhusu he......ccm wanashabikia rais mgonjwa?....ningekuwa mimi ningehama ccm
Washauri wake wasioonekana (Ulinzi kwa hisani ya Yahaya Husein) kuwa "MZEE shuka... shuka hapoo maana kuna dhahama la kuporomoka litajirudia punde"...
Hii ni dalili kwamba kuna mwendelezo wa KISICHOFAHAMIKA kwa wananchi kuhusu afya na kuanguka anguka kwa JK. lakini kwa kuwa afya yake ina udhibiti mkubwa kwa manufaa ya TAIFA (la kufikirika) hivyo nadhani kwa kumsaidia ni kutompa kura ili apumzike na kugain afya. Kama CCM haimhurumii, sisi wananchi tunamhurumia ndo maana tunaona hafai kuwemo katika wapiga mbio mahiri.
 
Kikwete: Vyama vya upinzani ni 'fotokopi'

25 September 2010

jk%20kampeni2.jpg

Jakaya Mrisho Kikwete

Imeandikwa na Ibrahim Bakari, Tarime na Anthony Mayunga, Serengeti


Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa wakazi wa maeneo jirani na uwanja huo walikodishiwa magari na CCM kuhakikisha kila mkereketwa wa chama hicho anahudhuria mkutano huo wa kampeni.



Mwananchi....Mwananchi....Mwananchi....UKWELI haufunikwi kama ilivyo kandili, BRAVO.............
 
Leo anakampeni wapi?

Leo atakuwa katika wilaya ya Ukerewe ambako ataanzia na kisiwa cha Ukara, atakwenda huko akitokea mkoani Mara kwa Helkopta, na Kesho atakuwa katika jimbo la Shibuda Maswa Magharibi akimnadi swahiba wa Mwanae Simon Robert Kisema
 
Back
Top Bottom