Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 642
- 375
Naamini JK yuko fit, maana kama ni kweli anamaradhi, basi yataonekana tuu, maana mficha maradhi.....
Natumaini tukio la Jangwani na hilo la Musoma halina uhusiano na afya yake. Sijui lini kutakuwa na utaratibu wa afya ya kiongozi kuwa wazi kwa public. Hizi speculation za afya za viongozi zinachangiwa sana na usiri mkubwa inapokuja kwenye suala hili.