Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 642
- 375
Naamini JK yuko fit, maana kama ni kweli anamaradhi, basi yataonekana tuu, maana mficha maradhi.....
Washauri wake wasioonekana (Ulinzi kwa hisani ya Yahaya Husein) kuwa "MZEE shuka... shuka hapoo maana kuna dhahama la kuporomoka litajirudia punde"...Tatizo la kikwete afya yake sio nzuri hilo liko wazi, ila ni mbaya zaidi pale kikwete anapong'ang'ania kuendelea na kampeni wkt akijua anavunja katiba inayomtaka kuwa na afya njema........nyerere alishaonya "kwa mtu mwaminifu kabisakabisa,ikulu ni mzigo"...sasa kikwete mbona mzigo uliishamshinda lakini anang'ang'ania....angejijengea heshima ya pekee iwapo angeamua kujiengua kugombea kwani afya yake haimruhusu he......ccm wanashabikia rais mgonjwa?....ningekuwa mimi ningehama ccm
Kikwete: Vyama vya upinzani ni 'fotokopi'
25 September 2010
Jakaya Mrisho Kikwete
Imeandikwa na Ibrahim Bakari, Tarime na Anthony Mayunga, Serengeti
Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa wakazi wa maeneo jirani na uwanja huo walikodishiwa magari na CCM kuhakikisha kila mkereketwa wa chama hicho anahudhuria mkutano huo wa kampeni.
Leo anakampeni wapi?