Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
397
Reaction score
445
Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya Bombadier, Manispaa ya Singida.

Akizungumza baada ya ukaguzi na kupokea taarifa, Waziri Mkuu ameeleza kuridhishwa na maandalizi na kupongeza maandalizi yaliyofanyika ambapo ameeleza kuwa na viwango vikubwa sana kuliko kupata kutokea.

Wafanyakazi wote wanakaribishwa wananchi wote kuja kusherehekea mafanikio ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo pia Rais Samia anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi.

IMG-20250430-WA0060.jpg
IMG-20250430-WA0065.jpg
IMG-20250430-WA0067.jpg
IMG-20250430-WA0063.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250430-WA0066.jpg
    IMG-20250430-WA0066.jpg
    759.2 KB · Views: 33
Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya Bombadier, Manispaa ya Singida.

Akizungumza baada ya ukaguzi na kupokea taarifa, Waziri Mkuu ameeleza kuridhishwa na maandalizi na kupongeza maandalizi yaliyofanyika ambapo ameeleza kuwa na viwango vikubwa sana kuliko kupata kutokea.

Wafanyakazi wote wanakaribishwa wananchi wote kuja kusherehekea mafanikio ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo pia Rais Samia anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi.

View attachment 3321193View attachment 3321196View attachment 3321197View attachment 3321194
Ujambazi wote huu unaofanyika na bi ushungi huyu ndiyo Mratibu Mkuu. Halafu muoga! Kila event inatokea anakimbia ili awe na alibi,

Aisee
 
Mtakao hudhuria hizo kampeni za kulazimishana, mna moyo.
 
Munayoyaongeaga kwenye sherehe hizo hayana uhalisia,kwakweli siwezi kushiriki sherehe za kipmbavu kama hizi🙄
 
Serikali inajipa ghadama kubwa sana kwenye haya matukio. Wanewaachia vyama vya wafanyakazi wajifanyie wenyewe.

Kila mwaka serikali rais anakuwa mgeni rasmi. Huku wanaponda wafanyakazi wenyewe mpo sijui laki 5 tu hamna madhara dhidi ya serikali na chama. Sasa hapa mwajiri mkuu ni serikali ama private sector?

Kutumia hizi paltform kisiasa sio sawa sawa. Tuwaache wafanya kazi wapambane na risala zao, wizara husika ziyachukue na kuwasilisha kwenye vikao kazi.
 
Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya Bombadier, Manispaa ya Singida.

Akizungumza baada ya ukaguzi na kupokea taarifa, Waziri Mkuu ameeleza kuridhishwa na maandalizi na kupongeza maandalizi yaliyofanyika ambapo ameeleza kuwa na viwango vikubwa sana kuliko kupata kutokea.

Wafanyakazi wote wanakaribishwa wananchi wote kuja kusherehekea mafanikio ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo pia Rais Samia anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi.

View attachment 3321193View attachment 3321196View attachment 3321197View attachment 3321194
Bora zifutwe tu maana hakunaga la maana wanatoka nalo hapa, ahadi zile zile, sana sana na siasa za uongo na kweli
 
Nchi ambayo watawala wamejaa hadaa, ni kupoteza muda wako kwenda kuwasikiliza. Hakuna lolote la maana utaenda kulisikia zaidi ya blabla za amani, huku wakiendelea kudhulumu haki za watu.

Walaaniwe watawala wa nchi hii, ambao wanawatendea dhuluma kubwa.
 
Back
Top Bottom