BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 397
- 445
Ujambazi wote huu unaofanyika na bi ushungi huyu ndiyo Mratibu Mkuu. Halafu muoga! Kila event inatokea anakimbia ili awe na alibi,Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya Bombadier, Manispaa ya Singida.
Akizungumza baada ya ukaguzi na kupokea taarifa, Waziri Mkuu ameeleza kuridhishwa na maandalizi na kupongeza maandalizi yaliyofanyika ambapo ameeleza kuwa na viwango vikubwa sana kuliko kupata kutokea.
Wafanyakazi wote wanakaribishwa wananchi wote kuja kusherehekea mafanikio ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo pia Rais Samia anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi.
View attachment 3321193View attachment 3321196View attachment 3321197View attachment 3321194
Bora zifutwe tu maana hakunaga la maana wanatoka nalo hapa, ahadi zile zile, sana sana na siasa za uongo na kweliLeo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya Bombadier, Manispaa ya Singida.