Babu Seya na Mwanae hawajahukumiwa kifo. Hao waliua na walihukumiwa kifo. Wakina babu seya hawastahili huruma hiyo hiyo?
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Si kila kitu ni siasa, mengine ni sheria zaidi. Ni bora usichangie kuliko kuchangia pumba. Hapa mzembe si Jk bali ni wewe nngu007. Katiba inampa uwezo rais kufuta au kupunguza adhabu yoyote. Rudi darasani!!!
Hivi Rais anaweza kubatilisha hukumu ya mahakama kuu jamani? Na rufaa kazi yake ni nini? Hapa nina wasiwasi na kusiginwa katiba. Huyu jamaa ni 'janga la kitaifa'!!!!!!!!
Matakwa ya Katiba
Madaraka ya Rais ya kumsamehe mtu yeyote aliyepatikana na hatia, yamo katika Ibara ya 15 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2005.
Nadhani watu wanataka kuona busara inatumika wakati mamlaka haya ya rais yanapotumika. Kwa maoni yangu naona Rais kupunguza adhabu ya kifo hadi miaka 2, ni kuwa kashauriwa kuwa wale ni kivuli cha " WAUAJI" na kuwanyonga ni kuwaonea anayetakiwa kunyongwa ni serikali! Hivi kama kweli wale watu waliua kwa makusudi, Rais anatumia busara gani kuwaonea huruma ya kupunguza adhabu ya kifo hadi miaka 2? Bwana KAUMZA, issue si kuwa mamlaka ya kikatiba, issue ni busara gani unaitumia ku exercise prerogative mercy
Aaanh, Roselyne Ali Khasan Mwinyi!Hapo Umekurupuka, Kombe ni Mwislamu na pia ni alikua mkwe kwa Mzee Ali Khasan Mwinyi.
Jamani, mkulu kawaachia polisi walio muuwa Kombe. Polisi hao walikuwa wamefungwa kifungo cha maisha, lakini walipunguziwa adhabu hadi miaka miwili.
Jamani, mkulu kawaachia polisi walio muuwa Kombe. Polisi hao walikuwa wamefungwa kifungo cha maisha, lakini walipunguziwa adhabu hadi miaka miwili.
Matakwa ya Katiba
Madaraka ya Rais ya kumsamehe mtu yeyote aliyepatikana na hatia, yamo katika Ibara ya 15 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2005.
Nadhani watu wanataka kuona busara inatumika wakati mamlaka haya ya rais yanapotumika. Kwa maoni yangu naona Rais kupunguza adhabu ya kifo hadi miaka 2, ni kuwa kashauriwa kuwa wale ni kivuli cha " WAUAJI" na kuwanyonga ni kuwaonea anayetakiwa kunyongwa ni serikali! Hivi kama kweli wale watu waliua kwa makusudi, Rais anatumia busara gani kuwaonea huruma ya kupunguza adhabu ya kifo hadi miaka 2? Bwana KAUMZA, issue si kuwa mamlaka ya kikatiba, issue ni busara gani unaitumia ku exercise prerogative mercy
You idiot allow free opinions here! One has the right to ask the situation and feelings of the relatives of the diseased. spare of your stupidity pro JK syndrome. The man was killed near my own home with eye witness when he raised his hands up as a sign of peace! damn it the sent bandits pumped some 4 bullets into his chest.Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Si kila kitu ni siasa, mengine ni sheria zaidi. Ni bora usichangie kuliko kuchangia pumba. Hapa mzembe si Jk bali ni wewe nngu007. Katiba inampa uwezo rais kufuta au kupunguza adhabu yoyote. Rudi darasani!!!
Sioni mahali kwenye katiba panaposema kuhusu hukumu ya kifo kuwa msamaha.. Nimeuliza mwanasheria mzuri tu hapa Tanzania anasema mara nyingi hukumu ya kifo kutolewa adhabu ya kifungo cha maisha ... Sasa ****** yeye katoa adhabu ya miaka miwili.
Ila nimejifunza jambo hapa.. Unapotekeleza amri ya mafisadi wao wao ndiyo watakaokulinda..