KIKWETE: Awaponda UKAWA

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Katika Sehemu ya hutuba ya Rais Kikwete akizungumza Dar anasema hati ya Muungano ipo,ni sahihi,Nyerere alipostaafu alimwachia Mwinyi, Mwinyi akampa Mkapa, mkapa akampa Kikwenye ambayo bado anaihifadhi na alionyesha kupitia mtumishi wake Ikulu

Anasema ukisema Nyerere sahihi sawa Karume kaguzi sio kweli ilifanyika Ikulu Kamboa alishuhudia lakini ndio hivyo tunapata uchungu ila tuyaache alisema Kikwete

Alisema Karume alithubutu Mpaka Zanziba ikapata uhuru tuwaheshimu viongozi wetu Nyerere na Karume katu wasielekezewe vijembe alisema Kikwete

Alijiuliza hivi hawa nanafanya kwa maslahi yao ama kwa taifa nawashauri warejee Bungeni lakini waajumbe wa pande zote hata wale wa kwetu waache matusi

Ukiwauliza wanasema wanatukasirisha, tumieni mfumo mliojiwekea acheni ushindana shirikianeni mpate katiba muwasaidie watanzania

Akasisitiza njia mbadala ni maridhiano jengeni hoja na kuwa umahiri wa kuwavutia upande mwingine wawe pamoja ila bado naamini katiba inaweza kupatikana

Jambo kubwa linaloweza kufanya muungano udumu ni jinsi unavyonufaisha watu kama ungekuwa haufai ungekwisha kufa siku nyingi ilisema sehemu ta Hutuba ya Rais Kikwete Jijini Dar

Kuhusu mafanikio Kikwete anasema barabara za lami zimejengwa Reli zimejengwa na kuimarishwa viwanja vya ndege vimejengwa na kuimarishwa uwanja wa mpira ZANZIBAR nao unaimarishwa Sehemu ya kurushia simu maendeleo ya simu usiseme watanzania mil 27 wanasimu alisisitiza Kikwete

Bomba la gezi limakamilishwa kuondoa adha ya umeme mambo yanakwenda vizuri kwahito watanzania msihofu mambo yanakwenda vizuri tumefuka lengo "mambo safi" alisema

Kwenye elimu mtoto wa bara anasoma Zanzibar na zanzibar anasoma Bara zaniba zilikuwa 62 tu zaza siko laki tatu leo tuna shule zaidi ya elfu ...mambo SAFI ALISEMA IKWETE mafanikio hayo

Lakini pamoja na mengi aiyosema hajasema vyanzo na rasilimali zetu zinatunufaishaje kama vile madini ardhi misiti wanyama kwamba zinagawanywa kwa usawa?

anaendelea fuatana nami...
 
Kama mtukufu rais anaweza kwenda semea mambo ya ukawa basi tena. Huyo aliyechaguliwa kuwa m/kiti wa BMK mbona kapwaaya?? Hiyo ndo viwango na kasi? Siku 70 bado sura 2 tu za kwanza? Kweli ni mzee wa viwango. Mipasho na mavijembe tuuu na rasimu mbadala? Kweli JK ni rahisi wala si rais.
Mh. Vunja tu hilo bunge uokoe hata robo. Laiti ungewaalika wanafunzi wa vyuo vya sheria wangekuletea katiba mpya tena ingedumu miaka zaidi ya 50 kuliko hayo machumia tumbo uliyopeleka Dodoma.
 
Hizo hoja za maridhiano kama za Komba kutishia kuingia msituni au.?
 
Raisi mwenyewe duuu eti tunawaenzi waasisi mbona kwenye ufisadi amkumbuki Kumtaja mbona watoto wao ndo wanamiliki Mali nyingi ivi hao waasisi walikua wanapendezwa na mambo hayo aende uko anajikosha tu huyo
 
Raisi mwenyewe duuu eti tunawaenzi waasisi mbona kwenye ufisadi amkumbuki Kumtaja mbona watoto wao ndo wanamiliki Mali nyingi ivi hao waasisi walikua wanapendezwa na mambo hayo aende uko anajikosha tu huyo

Hata kama JK hawaenzi Waasisi lakini hajawaporomoshea matusi kama ya wana-UKAWA!
 
Hata kama JK hawaenzi Waasisi lakini hajawaporomoshea matusi kama ya wana-UKAWA!

Tumia akili kidogo utuambie tusi gani walilotukanwa,hivi mtu akionyeshwa mapungufu yake ndo katukanwa? Je si kweli Tanganyika ilifutwa kwa amri ya Nyerere? Karume siku za mwisho alikuwa haongei uso kwa uso na Nyerere?Je watu waliopingana nae kuhusu muungano kama mzee Jumbe aliwafunga? Kama muungano ulikuwa ni wa wananchi kwa faida ya wananchi kwann enzi zake ilikuwa ni uhaini kukosoa muundo wa muungano?Aliyekuwa katibu wa baraza la wawakilishi amenukuliwa akisema baraza la wawakilishi halikuridhia mkataba wa muungano kwann Nyerere awalazimishe?Huna liberal mind unakaririshwa na unataka nasi tuwe wajinga wote tukaririshwe kama nyie. Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi na Nyerere wenu. Mngekuwa mna chembe ya akili mngemtoa kifungoni Aboud Jumbe awe huru kisha muwaombe msamaha wazanzibar mliowaua mwaka 2001
 
Reactions: prs
jamaa huwa anarukaruka tu! Muulize kama enzi za uhai wake nyerere kama walirusiwa kupata mishahara miwili!, jk aseme kama mwanae riz1 anayofanya anamuenzi baba wa taifa hili!
 
Yeye si ndiyo kawaonyesha wajumbe Wa CCM pa kupita? Analalamika nini Sasa?
 

Fanya editing ya bandiko lako
 

Wapate katiba ipi wakati yeye alishasema mambo yote lazima yawe ya sera ya CCM? Sijui ni lini serikali 2 ilikuwa ni sera ya CCM? CCM mpaka leo hii hawajui sera ni kitu gani?
 
Ninachompendea Jk ni kuwa, ameufanya Urais kuwa jambo jepesi na ambalo kila mtu anaona anaweza kushika nafasi hiyo!!

Tusishangae 2015 naye Nape Nnauye akachukua fomu za kugombea urais na akapata kura nyingi kwa kishindo!
 
jamaa huwa anarukaruka tu! Muulize kama enzi za uhai wake nyerere kama walirusiwa kupata mishahara miwili!, jk aseme kama mwanae riz1 anayofanya anamuenzi baba wa taifa hili!


Mkuu hilo nililo bold ni tatizo kwangu nataka kujua mwenye kujua atufafanulie zaidi:

Hivi wanasiasa wenye vyeo zaidi ya kimoja, mfano yeye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama chake, ni Mbunge wa kuchaguliwa jimboni mwake na ni Naibu Waziri wa Wizara katika serikali ya JMT.

Au ni Mbunge halafu Mkuu wa Mkoa fulani, au ni Mbunge na ni Waziri. Je hawa watu wanalamba salary zaidi ya moja kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…