Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
- Thread starter
-
- #21
Ndio swali inapaswa tujiulize wewe na mimi na Mamilioni ya WatanzaniaDoes this man really deserves a second term?
is this a question or an answer??
Our lives begin to end the day we become silent about things that matter
Nakubaliana na wewe kwa kila kitu maana niliona kuwa hajajibu hoja ya msingiNiliyoyaona kwenye TV siku hiyo:
1) Rais hajausoma waraka wa katoliki. Waraka ule hakuna unapozungumzia wakatoliki au wakristu kuwachagua wakristu; unachoeleza ni wananchi kuchagua watu watakaojali vipaumbele vya taifa, wasio mafisadi. Watu wanahitaji elimu ili waweze kuchagua viongozi wazuri, hivyo waraka unazungumza juu ya elimu ya katiba. Ebu niulize swali rahisi. Viongozi wetu tukishawachagua wanaapa kuilinda katiba ya nchi - je ni wananchi wangapi wanayo hiyo katiba? Ni wananchi wangapi wanajua katiba inasema nini? Sasa waraka ukizungumzia suala la elimu ya katiba kwa wananchi kuna kosa gani.
Shame on you JK, ulipaswa kusema kipengele so and so ni kibaya kwa sababu fulani. No research, no data, no right to speak. JK aliongelea kitu asichokijua na kuishia kuwatishia wananchi kuwa nchi itagawanyika kidini. Tunachomwambia - nchi imeshagawanyika kati ya mafisadi na wanaopinga ufisadi.
2)Ni aibu kushindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi iliyokuingiza madarakani na kuleta kisingizio cha eti hukushiriki kuiandaa. Sasa ulipokuwa unasimama majukwaani unainadi, na kusema ni nzuri na kuahidi kuitekeleza ulikuwa mwendawazimu (kutoelewa ulichokuwa unafanya)?
30 Bado JK anaendele na mkakati wa kumtakasa Lowassa katika suala la Richmond. Alichosema JK ni kwamba baada ya bunge kujadili ripoti ya kamati ya Mwakyembe na kuiagiza serikali ichukue hatua, bado serikali ililirudisha suala hilo Takukuru ambayo imerudi na majibu yake yale yale kuwa hakukuwapo rushwa. Je ni kwa nini suala hilo lilirudishwa Takukuru wakati Hosea naye alitakiwa achukuliwe hatua kwa kumdanganya rais? Hivi serikali ilitegemea majibu gani toka Takukuru?
Mpira upo kwako Mwakyembe: Wakati fulani kuna watu walitaka kumtakasa Lowassa bungeni na wewe ukasema kama mkileta mambo hayo basi tutafunua hata yale tuliyoamua tusiyaseme ili kuinusuru serikali. Tunaomba sasa uyaweke wazi maana serikali hiyo uliyoamua kuilinda inataka kukuangamiza! wawahi kabla hawajakuwahi!
4) Kuhusu suala la Zombe, tumuombe JK atoe ushahidi mahakamani, maana anakiri kuwa Zombe alimwambia TUmeua majambazi, yaani yeye Zombe na wenzake, na baadae ikaonekana kuwa wale hawakuwa majambazi! HATUHITAJI USHAHIDI ZAIDI YA HUO!
5) Mwisho ni usanii aliouonyesha wa kuchekacheka wakati nchi imeshaelekea kubaya.JK Hajui sababu ya watu kutaka kumuona kwenye TV. Sababu kubwa si kutaka kusikia tu bali ni kuona pia body language. Huwezi kusema sina urafiki katika vita vya ufisadi huku unachekacheka. The body language lazima ionyeshe seriousness ya unaloliongelea. Kusemasema eti hili mimi halinisumbui! wakati wananchi ndio wamekuuliza! ulitaka kuonyesha nini? kwamba wananchi wako ni mazoba? Hivi huyo aliyekuuliza swali ambalo kwake ni kero wewe unamjibu kuwa kero hiyo haikusumbui, atakuelewaje?
Anancha mambo yaende kama yalivyo, na pia kwa kuwa katiba yetu sio Imara ya kuhimili mikikiki hii yote na ndio maana kuna Vacuum katika uongozi wa Taifa hiliSijui kama tye rais ambaye ni kiongozi. Nafikiri tuna rais ambaye anpelekwa na upepo unakovuma. Wapi has alipotaka kutupeleka kwa hii miaka mitano aliyonadiwa kuwa chaguo la Mungu? Hata masheikh waliompigia chapuo hii leo wanamkana na kuahidi kutompa kura mwakani.
It is a statement. He does not deserve a second term, but he is there to stay nakwambia, hadi kipindi cha pili kipite. We created our own monster, we have to live with it! Tujipe pole!Does this man really deserves a second term?
is this a question or an answer??
Our lives begin to end the day we become silent about things that matter
wakati wa mwalimu kulikuwa hamna internet, tv za kuhesabika sio TZ tu bali world wide...Linalofurahisha zaidi ni kuwepo na uhuru mkubwa wa kutoa maoni kituambcho hakikuwahi kuwapo huko nyuma.
Hebu linganisha uhuru wa kutoa maoni wakati wa mwalimu hadi wa Mkapa na awamu hii.
Kwa wale wanaomshutumu na waendelee tu,lakini watu wenye akili zao timau tunafahamu kuwa rekodi ya JK inatufikisha katika Taifa lililo tranparent kuliko mataifa mengi katika Afrika.
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa mtu unaweza kutumia njia mbadala kwa ajili ya kuwasilisha mawazo mbadala na hivyo huwezi kuzuia jambo katika Dunia ya sasa, Hivyo Jk naye inampaswa afanye hivyowakati wa mwalimu kulikuwa hamna internet, tv za kuhesabika sio TZ tu bali world wide...
vitu unavyoviona leo havisababishwi na JK, BM, AM, hii inatokana na teknologia, na kikwete akitoka basi anayekuja itakuwa uhuru mkubwa zaidi...
ukifungia JF, watu wanaamia twitter/facebook
hata zimbambwe kuna uhuru, mugabe amezui kuna mshinda, iran kuna uhuru pamoja na kuzuia lakini wameshindwa
JK akizuia uhuru atakuwa anajipigilia msumari na yeye analijua hilo
Namuunga mkono Dr. Slaa (100%).
Actually mimi nilikata tamaa wakati ikijibu swali la waraka na kusema "...makamu wa Rais na Waziri Mkuu wapo safarini, nawasubiri wakirudi tutaenda kuongea na viongozi wa dini (eti) tuone tutafikia wapi kuhusu hili,....tupeni muda" Tido Mhando akamuuliza Rais muda unakwenda ....JK akajibu "...mbona uchaguzi wenyewe upo mwaka kesho"
Nimekata tamaa: nilikuwa nasikia tu kuwa huyu mtu ni "weak" - sasa nimeona kwa macho yangu. Rais asiyekuwa na maamuzi katika masuala ya wazi kabisa ni mchovu na hatari. We have a huge leardership vacuum in Tanganyika.
Akili zingine bwana hata watu kuwaza hawawazi .
JK nakueleza na CCM yake wakiweza kuwaziba watanzania midomo kwa ajili ya CCM kuendelea kuwa madarakani wanaweza kabisa na wanatamani mno ila sema wanabanwa . JK anajikomba kwa wazungu kila siku na ataka kuendelea kujikomba hawezi kuthubutu kujaribu kubana lakini ni ndoto ya CCM kufanya yote kwa ajili ya CCM . Pemba hadi leo ni kitendawili . Elimu imekuwaje ? Yaani shule za kata ndiyo useme Elimu ? JK ana andaa Taifa la wajinga na wasio kuwa na exposure . Ndicho anacho taka lakini hili huwezi kuliona . Unasoma kijijini kwako secondaru kijiji cha jirani na jioni unarudi home na baada ya Form 4 umefeli ubakia kulima less headache kwa CCM wasiotaka kupingwa .
JK hakika sijaona alicho kifanya na nilitegemea asimamie issues nasi kuwapanga wana CCM kuuliza maswali ya Chama chao . Alikuwa pale kama Rais wa Tanzania na si kama mwenyekiti wa CCM .Ndiyo nasema vyama viache kuwapa vyeo vya siasa viongozi wakuu ili tujue kazi zao hasa .
Unampa sifa JK ambaye hata waraka hajui unasemaje na hajui anacho kipinga ? Alianza propaganda za udini nikajua yeye sawa na Kingunge hawajausoma waraka ama wanasoma ila hawaelewi maana neno tuendelee ufisadi kule hakuna kuna kupingana na ufisadi na dhuluma .
Huyu mheshimiwa ni wa kumflash out 2010 tu.
Kwanini kuwa na kiongozi wa jinsi hii ? Maneno mengi utendaji mdogo,omba omba wakati mali za nchi hii wanaziuza kinyemela kwa waarabu na kutuibia Rasilimali zetu..
Hakutoa majibu ya msingi zaidi ya kucheka cheka hovyo.