Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ndio uzuri wa kuto delete permanently from recycle bin, you can later reuse the deleted. yaani huyo mama hajawahi hata kugombea jimboni yeye ni kuteuliwa tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu miaka yote. kama anafaa kwanini haendi jimboni. yaani miaka 40 anateuliwa tuuu, aaahh
mama mkwe kivipi? tujuze mkuu inawezekana wengine tupo nyuma ya wakati
Kuna umuhimu wa kupitia sheria zetu upya, Wabunge viti maalum 102, wabunge wa kuteuliwa na rais 10. Huu mzigo wote ni wawalipa kodi. Kwa nini tusiwe na wabuinge wakuteuliwa tu???? Kwa wale mnaojua hivi viti vya ubunge viko na kule Kenya,Uganda au kwenye nchi yoyote ya jirani??
Kwa mzigo huu tusitegemee elimu bure, na maisha bora yatakuwa ndoto kama kile kidogo tunachopata kinaishia kulipa posho za viongozi.
Weraaaaa weraaaaaa mama mkwe! Acha kodi za watanzania zilipe mahali!
This is the manifestation of mediocrity of the man so called "the president of Tanzania". Hajui hata nia ya hicho kifungu kinachompa madaraka hayo. Ni imani yangu kuwa waliweka kifungu hicho ili kama rais anaona kuna mtu mwenye ujuzi wa kufanya mambo muhimu serikalini lakini hakupata nafasi ya kuwa mbunge ateuliwe ili aweze kufanya mambo hayo. Badala ya huyu mkwele kutafuta professionals kuwapa nafasi hizo anamteua mama mkwe kwanza. masihala haya jamani. Kuna haja ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye, lakini ni nani atamfunga paka kengere??
Nahodha si mjumbe wa baraza la wawakilishi zanzibar? kama ni hivyo, atawezaje kuhudhuria vikao vyote viwili? Naomba mwenye ukweli wa hili atujuze