Kikwete azindua mradi wa Umeme uliojengwa na Kanisa Katoliki

Muzee uzee unakuingia vibaya au? weekend ilikuwa ndefu kidogo, hapo ni kwamba serikali kutokana na ukwasi walishindwa kufanya huo mradi ndio kanisa likaona kwamba linaweza kuinvest sasa kama wamekosea basi tuwasome fatwaa
 
RUZUKU - Kwa kodi za wananchi lakini! halafu watalipishwa bill za umeme.

Mkandara habari za siku. Vipi 'menu' yenu mwaka huu ikoje. Makristo ndio hivyo wameingia na kwenye umeme sijui nyie mnakusudua kufanya nini?
 
Mbona BAKWATA ina shule na hospitali ambazo zinatoa huduma kwa watu, kwani hakuna wizara ya elimu na afya. Kwenye mazuri tupongeze tu, tuache choyo.
 
Haya mambo ya mfumo kristo yakisha waingia baadhi ya watu ni kama vile wamepata ukimwi.....hata ukisema nini mfumo kristo hauwezi kutoka ndani ya akili zao....! Haya bwana Mkandara...tusubiri serikali ifanye kila kitu.
 
Angalau naona Ali, Shukuru etc wanachukua darasa la jinsi ya kuendesha mradi kama huu, faizy fox, ms wana hariri kitabu cha historia ya wazee wa gerezani, nafikiri kitakuja na majibu ya masuala ya umeme na maendeleo ya watu wa gerezani
 
RUZUKU - Kwa kodi za wananchi lakini! halafu watalipishwa bill za umeme.

Unafanya mchezo na Trilioni 1.2 wanazogaiwa na serikali kutoka katika kodi zetu na bado zile walizokuwa wanajichotea kabla. Bado tunaendelea kuchangia kanisani kwa kulipa bili wacha tuleee bomu likilipuka siku mtajua nini tunasema maana hadi yatokee ndio mtakumbuka maneno yetu.
 
Mkandara habari za siku. Vipi 'menu' yenu mwaka huu ikoje. Makristo ndio hivyo wameingia na kwenye umeme sijui nyie mnakusudua kufanya nini?
Sio zambi kama wengine wanapewa ruzuku kufanya maendeleo na wengine kunyimwa ruzuku kuanzisha mahakama ya kadhi,kinachotafutwa ni usawa na sio ushindani,cos wote kwa pmj wanalipa kodi,kila kitu kina mwanzo wake,naamini na wao wangewezeshwa wangefanya makubwa tu kuliko mahakama ya kadhi,tunawapongeza kanisa katoliki kwa mradi wa umeme ila isiwe kichocheo cha kuzarau madai ya wengine,usawa na haki viende sambamba
 
Muzee uzee unakuingia vibaya au? weekend ilikuwa ndefu kidogo, hapo ni kwamba serikali kutokana na ukwasi walishindwa kufanya huo mradi ndio kanisa likaona kwamba linaweza kuinvest sasa kama wamekosea basi tuwasome fatwaa
Hapana mkuu kwanza tuanze na maana ya Serikali haina dini -nipe maana yake kisha tujadili mengineyo. Serikali kushindwa mbona wanatoa fedha za ruzuku na JK ameahidi fedha zaidi? kisha kuwambia wananchi walipe bill za umeme! - Hii kitu gani?
 
haifanyi ibada kuabudu chochote
 
Hata Rebels wa NTC Libya waliitwa Mende, panya na matusi kibao ya kejeli. Badala ya kunijibu kwa hoja unaishia kuporomosha mvua ya matusi. Kukiwaka moto unaanza kulaumu kwanini watu wanapiga kelele ati hawajasoma.

Nikuulize hilo kanisa katoliki linaweza kutupatia mchakato wa wapi ilitoa hizo pesa za kujenga huo mradi? Vile vile ni tangu lini taasisi ya kidini ikajihusisha na utoaji wa huduma ya nishati? Hata ulaya husikii taasisi ya kidini kujihusisha na biashara only in Tanzania. Halafu mnadai serikali haina dini hahaha HATUDANGANYIKI!!!
 
Halafu kinachonishangaza ni hayo masevisi ya wakristu nyie waislamu mnayatumia lakinishapata mnalalamika. Kasita Seminali mmesoma, peramiho hospitali mnatibiwa, mkombozi na efata benki mnaweka hela, st Joseph college of Engineering mmejaa, KCMC mmelazwa, umeme wa Ludewa na Peramiho mnautumia.... LAKINI MNALALAMA
 
Si hela zetu mnazotuibia ndio zinajenga hivyo vitu unategemea tutaacha kulalama acheni kuiba na kurejesha hela zetu tutaacha kulalama. Hebu tuondolee upuuzi hapa.
 
Ndiyo maana watu wanasema mmesoma habari yote? unajua wafadhili ni nani na nani? Nimekuuliza hiyo trilioni 1.2 inatosha kuendesha miradi yote hiyo kwa miaka 19? Aisee kama kuna watu wanakera basi ni nyinyi! Hizi chokochoko kama akina mama wa uswahilini zitaisha lini ndugu zangu?
 
Dewji kawaambia mtuige wakristo kwa maendeleo, hamuelewi... Just imagine raisi angekuwa mkristo...
 
Hapana mkuu kwanza tuanze na maana ya Serikali haina dini -nipe maana yake kisha tujadili mengineyo. Serikali kushindwa mbona wanatoa fedha za ruzuku na JK ameahidi fedha zaidi? kisha kuwambia wananchi walipe bill za umeme! - Hii kitu gani?

.... Halafu mnadai serikali haina dini hahaha HATUDANGANYIKI!!!

Kama ina dini...ni dini gani? Sidhani kama serikali ya Tanzania inaamini kuwa Yesu Kristo mwenye umungu mmoja na baba ndiye Bwana na mkombozi wetu! Kwa hiyo mnataka kutuambia hii serikali inayoongozwa na Dr JK akisaidiana na Dr Bilali na kule visiwani Dr Shein na mweziwe Maalim Seif (Dr?) nayo ni ya kikristo/kikatoliki?
 
Si hela zetu mnazotuibia ndio zinajenga hivyo vitu unategemea tutaacha kulalama acheni kuiba na kurejesha hela zetu tutaacha kulalama. Hebu tuondolee upuuzi hapa.
lalamikieni na kutumia hizo huduma
 
Mbona BAKWATA ina shule na hospitali ambazo zinatoa huduma kwa watu, kwani hakuna wizara ya elimu na afya. Kwenye mazuri tupongeze tu, tuache choyo.
Hawashirikiani na serikali kutoa huduma hizo. Bakwata ni NGO inapata fursa za NGos kama NGos nyinginezo na hujasikia mtu akizungumzia NGos za wakristu..Kisha sii mwakilishi wa waislaam isipokuwa kwa tafsiri ya serikali ili kuendeleza mfumo kristu..
Mtaendelea kubisha kwa sababu mnapenda Udini lakini nawaambieni athari zake hakika tunaijenga Nigeria ya kesho kwani wao walianza vipi?
 
Hawashirikiani na serikali kutoa huduma hizo. Bakwata ni NGO inapata fursa za NGos na kisha sii mwakilishi wa waislaam isipokuwa kwa tafsiri ya serikali ili kuendeleza mfumo kristu..
Mkuu Mkandara unazungumzia serikali kuwa na dini (ya kikristo?) au serikali kuwa/kuongozwa na mfumo wa kikristo? Au yote mawili kwa pamoja?
 
Sweke,

Nikuulize ni akina nani wametoa hizo bilioni 8.9 kufanya utafiti wa umeme? Who gave them a land? Msaada mwengine tunaambiwa umetoka Italy (ambao wamefilisika tangu 2009 which is jambo la kushangaza but it may be possible) na Umoja wa Nchi za Ulaya sasa kwanini huo mradi uwe chini ya kanisa katoliki je Kanisa siku hizi linafanya biashara????? Nyie watu mnatufanya wajinga au vp? Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua!!!!
 
Well kama serikali yetu inaongozwa na Dr.JK, Bilal na Shein ambao wewe unawaona waislaam basi nchi hii inaongozwa Kiislaam au sio? tunazungumzia mfumo wa kiutawala usitazame watu. Ghadaff alikuwa Dikteta na kwa Walibya waislaam wenzake haina maana maadam Ghaddaff alikuwa Muislaam akiongoza waislaam basi Udikteta ni Uislaam. Acheni ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…