Kikwete azindua mradi wa Umeme uliojengwa na Kanisa Katoliki

Kikwete azindua mradi wa Umeme uliojengwa na Kanisa Katoliki

Hapana mkuu kwanza tuanze na maana ya Serikali haina dini -nipe maana yake kisha tujadili mengineyo. Serikali kushindwa mbona wanatoa fedha za ruzuku na JK ameahidi fedha zaidi? kisha kuwambia wananchi walipe bill za umeme! - Hii kitu gani?
maana ya serikali kutokuwa na dini ni kuwa serikali haifungani na upande wowote iwe mpagani, kafiri au muislamu, wote kwa serikali ni sawa.
ruzuku ni kutoa mchango kupunguza makali ya gharama halisi, sasa kama mradi au gjarama za uendeshaji ni trillioni 1, basi serikali kutokana na utashi wake wanaweza kuchangia sema 10% ya hizo gharama, sasa hapa ukumbuke jukumu la kutoa fedha zote ilikuwa na ya serikali lakini haikuwa na hiyo hela, hivyo iwe bakwata wa au walutheri/au wasabatho nk
 
Well kama serikali yetu inaongozwa na Dr.JK, Bilal na Shein ambao wewe unawaona waislaam basi nchi hii inaongozwa Kiislaam au sio? tunazungumzia mfumo wa kiutawala usitazame watu. FGHaddaff alikuwa Dikteta kwa waislaam wenzake haina maana maadam Ghaddaff alikuwa Muislaam basi Udikteta ndio ndio Uislaam. Acheni ujinga!
Tukiweka kando hayo maneno mawili ya mwisho, sasa kama hao madaktari sio waislamu (na kwa hakika sio wakristo!) inakuwaje serikali 'yenye dini' inaongozwa na watu 'wasio na dini'? Kama JK, Bilal na Shein sio waislamu, nchi ya Tanzani ina waislamu wangapi? Hata wakristo (kwa standards hizo) watakuwa wangapi?
 
Halafu kinachonishangaza ni hayo masevisi ya wakristu nyie waislamu mnayatumia lakinishapata mnalalamika. Kasita Seminali mmesoma, peramiho hospitali mnatibiwa, mkombozi na efata benki mnaweka hela, st Joseph college of Engineering mmejaa, KCMC mmelazwa, umeme wa Ludewa na Peramiho mnautumia.... LAKINI MNALALAMA
Suala hapa sio kutumia au kutokutumia,hatutoacha kulalama mpaka haki tuone inatendeka,wengine wape ruzuku na wengine wanyimwe tukisema tunalalama,tukisema hatujasoma,ukiukwaji wa haki duniani ndiko kunaloleta malalamiko na majanga makubwa,kama kuongelea haki na usawa ni kulalama bac hakuna haja ya maandamano yanayotokea nchi,tuwavumilie tu wanaotunyima haki mpaka cku watakapoamua kuitoa
 
Mkuu Mkandara unazungumzia serikali kuwa na dini (ya kikristo?) au serikali kuwa/kuongozwa na mfumo wa kikristo? Au yote mawili kwa pamoja?
Nipe maana ya serikali haina dini - maswala ya kuulizwa swali unarudisha swali siyawezi. Jibu kwanza hili kisha tutazame serikali imefanya nini sawa ama kinyume..Kama kweli serikali inashindwa ktk elimu, afya, maji, na sasa umeme ni kipi wanachokiweza maanake kanisa inaweza kufanya yote ya wizara zote kwa ufanisi kwa nini tusiwape uongozi wa nchi?.
 
Hata Rebels wa NTC Libya waliitwa Mende, panya na matusi kibao ya kejeli. Badala ya kunijibu kwa hoja unaishia kuporomosha mvua ya matusi. Kukiwaka moto unaanza kulaumu kwanini watu wanapiga kelele ati hawajasoma.

Nikuulize hilo kanisa katoliki linaweza kutupatia mchakato wa wapi ilitoa hizo pesa za kujenga huo mradi? Vile vile ni tangu lini taasisi ya kidini ikajihusisha na utoaji wa huduma ya nishati? Hata ulaya husikii taasisi ya kidini kujihusisha na biashara only in Tanzania. Halafu mnadai serikali haina dini hahaha HATUDANGANYIKI!!!

hii ni sehemu moja ambayo imetangazwa zipo sehemu nyingi sana linajizalishia umeme lenyewe. Mfano Tosamaganga tangu 1897 walitega umeme mto ruaha pale umeme wa tanesco umekuja 1990s 100yrs later, Peramiho huko hata grid ya Taifa Hakuna, Maguu mbinga, Ndanda, Njombe, haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo nayfahamu. Kwa hiyo kama kanisa katoliki lingeamua kusambaza nishati ya umeme lingeweza. Kwa hiyo acha kusema kwa nini kanisa linafanya hivi ni utaratibu ambao linalo tangu enzi hizo.
 
Hapana mkuu kwanza tuanze na maana ya Serikali haina dini -nipe maana yake kisha tujadili mengineyo. Serikali kushindwa mbona wanatoa fedha za ruzuku na JK ameahidi fedha zaidi? kisha kuwambia wananchi walipe bill za umeme! - Hii kitu gani?

Kulalamika hakusaidii, mtazidi kulalamika wenzenu wanajenga mashule,
mahospitali, na sasa mradi wa umeme... Je, unadhani hii inakusaidia
nini kama si kukuongezea stress katika maisha?... Utakalia; Oh mfumo
Ukristo, oh Ukristo unatawala huku wengine wakileta maendeleo...
 
Nipe maana ya serikali haina dini? ni katiba yako mbona mnakwepa swali?
 
Suala hapa sio kutumia au kutokutumia,hatutoacha kulalama mpaka haki tuone inatendeka,wengine wape ruzuku na wengine wanyimwe tukisema tunalalama,tukisema hatujasoma,ukiukwaji wa haki duniani ndiko kunaloleta malalamiko na majanga makubwa,kama kuongelea haki na usawa ni kulalama bac hakuna haja ya maandamano yanayotokea nchi,tuwavumilie tu wanaotunyima haki mpaka cku watakapoamua kuitoa
Kiukweli... Kulalama hakutawasaidia, mnatakiwa muwaige wenzenu ili nanyi muwe kama wao. BY THD WAY... YOU CAN NOT HELP THE POOR BY PULLING DOWN THE RICHER
 
mmh, miye naangalia tu hii picha.
jk yupo njombe na el yupo mwanza wote
wawili wanahudhuria shughuli za kanisa katoliki.
sijui wanashindana au ndio mipango ya ccm kujiweka karibu zaidi
na kanisa katoliki?
 
Nipe maana ya serikali haina dini? ni katiba yako mbona mnakwepa swali?

hivi ni kwanini hamna wivu mzuri wa maendeleo na badala yake mmekalia kuwa na wivu mbaya wa maendeleo

ninatia mashaka civilization yako
 
Nipe maana ya serikali haina dini? ni katiba yako mbona mnakwepa swali?

Mkandara huwezi kupewa jibu hilo zaidi ya kuwa jamaa watazunguka mbuyu tu. Serikali ya Tanzania ni ile serikali ya kikristo inayobagua wananchi wengine kwani hawafuati mafundisho yanayoaminiwa na serikali. hahahaha you guys make me sick sometimes.

Mnaiba hela halafu mnadai ati waislamu kulalamika hakuwasaidii sasa mnavyolalamika nyie dhidi ya mafisadi wa EPA, Twin Tower Tanzania mnafanya nini? Unafiki mtupu.
 
Kiukweli... Kulalama hakutawasaidia, mnatakiwa muwaige wenzenu ili nanyi muwe kama wao. BY THD WAY... YOU CAN NOT HELP THE POOR BY PULLING DOWN THE RICHER
Mkuu tunaongozwa na katiba sio maswala ya kuangalia wengine wanafanya nini. Mimi sipo TZ na nayajua maendeleo kuliko wewe vibaya sana, huo umeme wa msaada kwa kitongoji hauwezi kuitwa maendeleo bali ni mfumo mbovu wa kiutawala ambao umetawaliwa na viongozi wabovu mlokuwa nao.. sasa naanza kuelewa kwa nini Mkapa na JK waliweza kushinda uchaguzi!.. kama akili zenyewe ndio hizi CCM watatawala hadi machafuko ya Udini ambayo nina hakika hayana muda mrefu. Sasa hapo ndipo mtakapo yajua machungu yake!..Nipe maana ya seriklai haina dini tuendelee na mjadala.. maneno mengine hayana mpango.
 
mkaandara unaumia sana ukiona kanisa katoliki linafanya mavituz...full maendeleo....waislamu wabadilike tu
 
mkaandara unaumia sana ukiona kanisa katoliki linafanya mavituz...full maendeleo....waislamu wabadilike tu
Hainiumi kitu ila nawasikitia nyie kwa sababu mko ktk tenga kama kaa wanaosubiri kutupwa ktk sinia la moto la mafuta..Uislaam kwangu ni dini siwapendi bakwata wala waislaam wanaopenda wapewe kama wakristu kwa sababu huo sii uongozi wa nchi ambayo haina dini. Ndivyo walivyoanza Nigeria na nchi nyingine zote zilizofikia vita baina ya wao kwa wao. Wewe nawe nipe maana ya serikali haina dini haya ya kuumwa umeyasema wewe! huna jibu kaa pembeni.
 
Huko ni kutafuta justification ya kushindwa kwenu. Mtabaki hivyo hivyo wakati wenzenu tunajenga mabenki yetu, mahospitali, mashule na vituo vya kuzalisha umeme... Kumbuka kuna cha Peramiho kule Songea

Please..........read MOU between The Gov Of TZ and Church.................

MY WORD IS MY BOND....
 
kutiki wasu? ...mnaambiwa ukweli mnpinga...cha muhimu ni kubadilika tu lakini mkikalia kufunga masipika na kuongea utumbo hakika hamtafika.....
Nja kisi ela wasu!
Unawaambia watu gani? Je leo nyie sii Watanzania tena imekuwa WAO vs SISI ama kweli mnasikitisha. Nilidhani kwamba mnaipenda nchi yenu na Utanzania kumbe kuna wao na sisi. Ama kweli janvi la siasa limeingiliwa na Udini.
 
Nipe maana ya serikali haina dini? ni katiba yako mbona mnakwepa swali?

Kwa kuwa mimi si mdini sioni tatizo na wala siwajibiki kujibu swali lako...
Hapa tunaangalia maendeleo na si udini. Bado nasisitiza kuwa kulalamika
hakusaidii...
 
RUZUKU - Kwa kodi za wananchi lakini! halafu watalipishwa bill za umeme.

hivi umesoma vizuri ukajua kanisa limetoa wapi pesa za kujengea mradi huo au unaandika tu?.....kuna post yangu # 20 hbu ipiti tena ndo utajua udhaifu wa wengine ulipo na kwa nini wanashindwa kufanya mambo makuba wwakatoliki
 
Kamsome tena JK amesema nini ktk ufunguzi, kisha rudi kunijibu - Serikali haina dini maana yake nini?
 
Back
Top Bottom