maana ya serikali kutokuwa na dini ni kuwa serikali haifungani na upande wowote iwe mpagani, kafiri au muislamu, wote kwa serikali ni sawa.Hapana mkuu kwanza tuanze na maana ya Serikali haina dini -nipe maana yake kisha tujadili mengineyo. Serikali kushindwa mbona wanatoa fedha za ruzuku na JK ameahidi fedha zaidi? kisha kuwambia wananchi walipe bill za umeme! - Hii kitu gani?
ruzuku ni kutoa mchango kupunguza makali ya gharama halisi, sasa kama mradi au gjarama za uendeshaji ni trillioni 1, basi serikali kutokana na utashi wake wanaweza kuchangia sema 10% ya hizo gharama, sasa hapa ukumbuke jukumu la kutoa fedha zote ilikuwa na ya serikali lakini haikuwa na hiyo hela, hivyo iwe bakwata wa au walutheri/au wasabatho nk