hivi umesoma vizuri ukajua kanisa limetoa wapi pesa za kujengea mradi huo au unaandika tu?.....kuna post yangu # 20 hbu ipiti tena ndo utajua udhaifu wa wengine ulipo na kwa nini wanashindwa kufanya mambo makuba wwakatoliki
Nimemuuliza maswali Sweke tunaomba wewe utujibu maswali yangu haya
Sweke,
Nikuulize ni akina nani wametoa hizo bilioni 8.9 kufanya utafiti wa umeme? Who gave them a land? Msaada mwengine tunaambiwa umetoka Italy (ambao wamefilisika tangu 2009 which is jambo la kushangaza but it may be possible) na Umoja wa Nchi za Ulaya sasa kwanini huo mradi uwe chini ya kanisa katoliki je Kanisa siku hizi linafanya biashara????? Nyie watu mnatufanya wajinga au vp? Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua!!!!
