Kikwete azuia mawaziri kutoka nje ya Dar es Salaam

Kikwete azuia mawaziri kutoka nje ya Dar es Salaam

Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.

Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.

CHANZO:Mtanzania

Porojo na ngonjera zimezoeleka!
 
Hii ni kwa mujibu wa magazeti ya leo. Je? Mwisho wa Muhongo umefika au anataka kuziba pengo la Tibaijuka?
 
Not touching. A weak Government keeps on changing players of equal quality.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Kwa raisi huyu, kufa hatufi ila cha moto twakiona.
 
Ma.ta.ko yake na yeye hebu asituzuge sisi, kiporo tayari lilishavunda hilo!
 
Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.

Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
======================================



Chanzo:Mtanzania

Ni lazima kuiondoa CCM madarkani, ndiyo dawa pekee ya kuuondoa huu Ufisadi kwani una mizizi to shina hadi matawi.

Vunginevyo ni changa la macho tu kwa Watanzania, haiwezekani nchi yenye watu zaidi sasa ya Millioni 45, wachache wanufaike na Rasimali za nchi na kufanye nchi ni yao peke yao pasipo hata kumwogopa Mungu.
 
Taarifa hii ilivumishwa jana humu JF. Kumbe Mtanzania nao wameinyaka? Hakika sasa hivi Mtanzania hawana jipya
 
Kwa sasa Mawaziri wapo busy kukamilisha hotuba za bajeti za wizara zao. Acheni kuweweseka
 
Mawaziri tisa wako nje ya dar sijui anamaanisha mawaziri gani.

habari ni fake,hata hiyo paste aliyoweka imepitwa na wakati,kwani inasema mhongo yuko mikoani wakati sio kweli.
 
Kamwogopa Lema. Angemchakaza ngwala swahiba wake Muhongo. Usichezee mabadiliko yanapokuja
 
Nimeipenda hii.....

JK mwanamazingaombwe wa kutupwa..yeye mwenyewe hayupo nchini mbona hatuoni tofauti..hata akae huko mpaka octoba hakutakuwa na tofauti yoyote.
 
Yaani Tanzania ingekuwa ni gari, tungeshuka tumwache peke yake.
Mie namhesabia siku tu, kajisemea mtu mmoja humu hata asipokuwepo hapa nchini hadi Oct nothing new will happen


Kwa raisi huyu, kufa hatufi ila cha moto twakiona.
 
Back
Top Bottom