Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kumekucha ndio anakumbuka shuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.
Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
======================================
Chanzo:Mtanzania
Waondoke tu,sawa na kusema wapigwe tu,tumechokaKatika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.
Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
======================================
Chanzo:Mtanzania
Porojo na ngonjera zimezoeleka!
Sio busara kubadili baraza wakati muda uliobaki ni miezi michache.
Waondolewe wenye matatizo tu basi na sio lazima replacement
Eti litawachoma!, hivi nyinyi watu mnaoipenda ccm, mmepewa kitu gani haswa hadi msahau au msione maovu yoote yanayofanywa na viongozi wa nchi hii?
Mawaziri tisa wako nje ya dar sijui anamaanisha mawaziri gani.
Nimeota Mwanry kawa Waziri mkuu
Kwa hiyo CCM ina mawaziri 9 tu.
JK nchi ilimshinda mapema sana! Alishaambiwa urais Si lele mama! Anatuongezea gharama tu! Amelea ufisadi akiwa vyombo vyote vya dola,ameshindwa kuzuia ufisadi mkubwa hivi! Sasa bado miezi 6 kuvunja bunge anateua baraza jipya! Shame!
Kweli? Kwa hiyo bei ya mafuta isipungue kwa kuwa muda umebaki mchache? Hebu jaribu kuvaa uhusika wa watanzania wote wanaoishi chini ya dola 1 tukuone katika rangi yako halisi,
Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.
Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
======================================
Chanzo:Mtanzania
Muhongo akiondolewa nitaamini mengi kaiweka serikali mfukon