CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.
Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
CHANZO:Mtanzania
Kwani hawawezi kurudi/kurudishwa Dar!Mawaziri tisa wako nje ya dar sijui anamaanisha mawaziri gani.
Nimeota Mwanry kawa Waziri mkuu
Not touching. A weak Government keeps on changing players of equal quality.
Ma.ta.ko yake na yeye hebu asituzuge sisi, kiporo tayari lilishavunda hilo!
Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-salaam.
Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri.
======================================
Chanzo:Mtanzania
Wataishaje kuota ilhali wanaishi kwa ndoto?Ndoto haziwaishii makamanda.
Mawaziri tisa wako nje ya dar sijui anamaanisha mawaziri gani.
JK mwanamazingaombwe wa kutupwa..yeye mwenyewe hayupo nchini mbona hatuoni tofauti..hata akae huko mpaka octoba hakutakuwa na tofauti yoyote.
Kwa raisi huyu, kufa hatufi ila cha moto twakiona.