Salaam,
Nimesoma hii taarifa Kwa masikitiko, Nashindwa Kuelewa, Tafadhali nisaidieni WanaJamii;
Mbali na Elimu, Umri wa Mgombea Uraisi, akili timamu nk: Ni sifa zipi au elimu kiwango gani zingeongezwa kwa mgombea nafasi hii ya Juu ya kuongoza, kuwawakilisha Watanzania katika maswala tofauti ndani na nnje ya Nnchi yetu.
Nina wasiwasi na upeo wa upembuzi wa maswala muhimu na mikakati yakinifu ya utatuzi wa matatizo makubwa ya nnchi yetu, siwezi kuainisha yote hapa, but niko interersted na;
1. Tatizo la kutokujua tatizo
2. Kirusi cha Akili tegemezi for now,
1: Tatizo la kutokujua tatizo matatizo mengi yanatukabili, Mtanzania mmoja mmoja, na
kwa ujumla, Najua hatua
ya kwanza ktk utatuaji wa tatizo ni kulielewa vizuri tatizo, causes etc........
Nanukuu haya maneno na Mwakilishi wa sasa wa Jamuhuri
"Kuna wakati nilikwenda Marekani nikakutana na rafiki yangu akasema wewe kwako si unatatizo la malaria, nikamweleza ndiyo akasema atanikutanisha na mtu atakayenisaidi na kumaliza tatizo ... kweli akanikutanisha naye na akanunua vyandarua vyenye thamani ya Dola milioni 78, alisema." Nimemaliza kunukuu.
Niliwahi kufundishwa @primary school causes za malaria na tiba yake ni kutokomeza vyanzo vyake (madimbwi, vichaka na kadhalika); Nisaidieni, Tunatokomeza malaria kwa Kuweka chandarua? Fikiri mtaa unaoishi kuna vianzilishi vya aina gani na vingapi? je vinatokomezeka? Vinahitaji msaada kutoka jamuhuri fulani jirANI? wazungu au?
Kiwanda cha Neti Arusha kimeajiri watu wengi, yes (GOOD)kwa ajira, mabasi mapya kabisa n.k. But hii ni genuine SOLN? I don think so!
2. Kirusi cha Akili tegemezi
Hili ni tatizo kubwa zaidi ya yote uliowahi kusikia, Naamini hata katika ufundishaji wa shule zetu, Wazungu wanafundishana kusaidia, sisi kusaidiwa, Ni aibu sasa mambi tunayoomba msaada kwayo, Tunadharaulika sana, Mh JK apokea misaada kadhalika, ukiangalia vizuri unaona neti, pikipiki, na bidhaa fulani fulani za kichina, ambazo naweza sema ni Aibu. Naamini uwezo tunao tukiamua kuachana na dhana hii ya Utegemezi (Yes we need them, bt kuna mambo twaweza fanya...for now,
Kwenye hili "
Ninapokwenda nje nakwenda kwa malengo. Siende tu. Siwezi kukaa Ikulu jijini Dar es Salaam, kuangalia uzuri wa mke wangu Salma
hapana lazima nikutane na watu huko huko waliko, alisema na kuongeza:" Nukuu
Naamini kuna mengi ya maana JK angefanya akiwa hapahapa Kwenye nyumba yetu (IKULU) zaidi ya kuangalia Uzuri wa 1st Lady, Kuuangalia Uzuri huu Ikulu pia ni Mismanagement of resources, bse Anatakiwa awe pale kwa maslahi ya taifa (primary Objective) and not otherwise.
Nyerere miaka fulani hakuwahi kabisa kwenda uko 1st world, kipindi ambacho unaweza fikiri tulihitaji misaada zaidi. ( alikataa mialiko mingi sana) akabaki nyumbani kufanya kazi za taifa and not kuuangalia uzuri wa Maria......
I stop here 4 now.
Quotes: Gezeti Nipashe.
Na Joseph Mwendapole