Kikwete: CCM ipo pale pale mpaka Yesu atakaporudi(Kumbukizi)

Hiyo ni kufuru mbele za Masiha Kristo. Wamefanya uovu wote wameona hautoshi, wakaona wamkufuru na Kristo Masiha, atakayewahukumu wazima na waliolala usingizi wa mauti.

Ee Bwana tunaomba tusijumuishwe kwenye hiyo kufuru, tunaomba ibakie kwake.
 
Duuu, Aisee πŸ˜‚
Mzee Mwinyi alisema CCM itatawala kwa uchache angalau miaka 100 .
Kikwete mpaka Yesu ashukeπŸ˜‚
Kwahiyo wamerefusha siku za kutawala.

Kauli za kibabe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…